Mzee Msekwa hajikombi wala hana hulka hiyo kabisa.Muhusika yeye mbona yupo kimya ila kina Bashiru na Msekwa wanajikombakomba alafu wanasema mitandao inampa BM umaarufu
Msekwa umri umeenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee kama yule kutoa maneno ya kebehi haipendezi kwa jamiiSidhani kama Msekwa aliamka asubuhi na kuwatafuta waandishi wa habari kuwaambia haya.
Nadhani aliulizwa maswali na waandishi na hayo ndio majibu yake.
Hapo umri wake umehusiana vipi na majibu yake?
Yeye mwenyewe anajua! Kwa nini unataka uambiwe? Membe is a deadwood!
Njia aliyotumia kufikisha ujumbe yeye kama mzee na mwanasiasa mkongwe ina walakiniMzee Msekwa hajikombi wala hana hulka hiyo kabisa.
Yeye kwa sasa yuko kwenye baraza la wazee na mara nyingi huwa kisiwani akibariz.
Kilichotokea ni kwamba waandishi wa habari walitaka maoni yake kuhusu hilo kama vile walivyotaka maoni yake wakati wa barua za akina mzee kinana na makamba.
Haikuwa kebei ilikuwa ufafanuzi kwamba kufukuzwa chamani ndugu Membe sio jambo geni na kubwa hivyo kama linavyo tengenezwa na waandishi wa habari,
Njia aliyotumia kufikisha ujumbe yeye kama mzee na mwanasiasa mkongwe ina walakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mawazo ambayo una haki nayo lakini unapaswa kufahamu hulka ya huyu mzee siyo ya papara naye aliulizwa masuala haya na 5th Estate. Amekuwa akijibu masuala mengi kuhusu bunge pamoja na chama chake na sijawahi kusikia spika akilalamika wala chama chake kikilalamika.Njia aliyotumia kufikisha ujumbe yeye kama mzee na mwanasiasa mkongwe ina walakini
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu JF naona hujakomaa. Hapa tunatumia ushahidi, siyo ushabiki. Wewe nakuona ni shabiki wa Membe na unaamini membe ni wa kupongezwa tu. Utakapokomaa, utajirudi.
Ndiyo amefafanua vizuri na ilitosha kabisa kuelewekaHaikuwa kebei ilikuwa ufafanuzi kwamba kufukuzwa chamani ndugu Membe sio jambo geni na kubwa hivyo kama linavyo tengenezwa na waandishi wa habari,
Wengine kwa makusudi kwa kulipwa na wengine ni kwa kutaka habari itakayo uza magazeti kwa wingi.
Nothing special about it. He is normal just like any other former TANU and CCM members who were expelled from their party.
Kulikuwa na sababu gani ya kusema B.M asijione special?Alitakiwa kutumia njia gani wakati waandishi wa habari ndio waliomfuata na kuanza kumpamba Membe kwa maneno mazuri mazuri? Membe pia aache kutumia media vibaya.
Watalalamikaje wakati ni walewale?Hayo ni mawazo ambayo una haki nayo lakini unapaswa kufahamu hulka ya huyu mzee siyo ya papara naye aliulizwa masuala haya na 5th Estate. Amekuwa akijibu masuala mengi kuhusu bunge pamoja na chama chake na sijawahi kusikia spika akilalamika wala chama chake kikilalamika.
Pilipili usiyoila inakuwashaje????
Lakini ata Membe ana haki ya kutoa maoni pamoja na kuonyesha nia ya kugombea ..Katiba ya nchi ipo waziPamoja na umri kwenda anahaki ya kutoa maoni yake kwa mujibu wa katiba ya nchi ibara ya 18
Kama ni hivyo basi tuwaachie wenyewe.
Nakataa kwamba mimi siyo shabiki wa Membe kama unavyodai, ila naangalia uhalisia wa mambo na siyo ushabikiKaribu JF naona hujakomaa. Hapa tunatumia ushahidi, siyo ushabiki. Wewe nakuona ni shabiki wa Membe na unaamini membe ni wa kupongezwa tu. Utakapokomaa, utajirudi.
Bila shaka, kwani kuna mengi nyuma ya paziaKama ni hivyo basi tuwaachie wenyewe.
Hivi vizee havitaki kutulia na vitukuu vyao, mwenzake anapigania maisha yake huko ICU yeye analeta za kuleta.Msekwa katumwa...
Jr[emoji769]
kama CCM walikua hawamuhofii Membe kwanini wamfukuza asikutane na Meko kwenye kura za maoni?Sasa Membe naye wa kumhofia? kuna wa kuwahofia Ila sio Membe Kwa kweli, atafute Tu kazi zingine za kufanya, ni aheri ukamhofia Zitto kuliko huyo Membe.
Hivi wewe ni mwenzetu?