Msekwa: Membe siyo mtu maalumu, afuate tu taratibu

Hakuna watu maalum, taratibu zifuatwe. Nakazia.
 
Zezeta ni nani kati yako wewe na mzee Msekwa? Definitely wewe ndo utakuwa zezeta. Ungekuwa na akili hata kidogo ungempinga mzee Msekwa kwa nondo za maana kuliko huu upupu ulioweka hapa. Hawa wazee hawana cha kuprove kwako kwamba wana uwezo wa kufanya na kuongea vitu vya maana. Unachotakiwa wewe ni kuwapinga kwa hoja za maana zaidi na si kwa hoja za ushabiki makande ulizoweka hapa.
 
hahahaha MaCCM ni maoga sana kama kunguru.
Huo ushabiki sasa! Any CCM localized DNA strand to substantiate your statement? If not, avoid the nonscientifically based conclusion for a scientic statement. Woga siyo social trait, ni biological.
 
Huo ushabiki sasa! Any CCM localized DNA strand to substantiate your statement? If not, avoid the nonscientifically based conclusion for a scientic statement. Woga siyo social trait, ni biological.
MaCCM yote tu ni yale-yale.
 
Tusidanganye watu, Kambona aliukataa UJAMAA, na pia alikataa Nyerere alivyokuwa analazimisha lake, ukweli ni kuwa, enzi hizo siasa za kidikteta zilishamiri sana Africa, hiyo ndiyo issue
Sent using Jamii Forums mobile app
 
"....bado muna kanuni...." ukishasema muna kanuni, ina maana wewe siyo sehemu ya wao. Sasa kweli unaweza kutetea mtu ktk chama kingine, kwa kanuni zao, na maamuzi yao juu ya mtu wao ili iweje? CCM wanafuata tabia yao mbaya, CHADEMA wanafuata tabia yao mbaya; Zito out! UDP hivyo hivyo; Chidulamabambasi, OUT! n.k.

Tusichoshe akili kuwashauri watu ambao hawatuhusu. Haya yanamuhusu Membe na wenzake. Siyo ya leo.
 

Mzee anakufa ila bado ni biggest hypocrite on earth!

All for the name of monster ccm and madaraka!

Hold my beer!
 
Wanafanya vizuri kumwambia ukweli uliowazi maana alijazwa upepo mwingi kupita kawaida
Kinachonishangaza mimi, wote wanaoongea sana ni viongozi wa ccm, alianza polepole, kafuatia bashiru, mara msekwa. Mwenyewe Membe kimyaaaaaaaaaaaaaaa. Sijui wanaogopa nini au wanawashwa na nini. Jamani si mmeshamchukulia hatua, mmemfukuza sasa mwamfatafata wa nini. Kawaambia anataka kurudi ccm. Labda irudi ile ccm ya watanzania ya wakulima na wafanyakazi sio hii ya kisasa ya wasanii
 

Labda wewe ndo unasema yupo kimya, ila wenzio wanajua anasema nini. I think umeziba masikio kwa kutotaka kusikiliza anasemaje yeye. Pole
 
Alaaaah! Kumbe wanambembeleza aombe msamaha na arudi tena chamani yaheee, ckujua hayo.
 
Huu sasa ndiyo ujinga. Nafasi ya kumjadili walishakuwa nayo na sasa wanaonyesha hawakumaliza kumjadili kabla ya kutoa haya maamuzi ya polepole? Hii nchi inachosha sana utafikiri hawakusoma kuhusu jinsi ya kuhitimisha na kutoa maamuzi. Hata ikiwa waandishi wanawatega waambieni tu suala hili limieshatolewa maamuzi na kamati kuu na hivyo hatuwezi kulisemea. Huu ndiyo uungwana. Kila mtu ni kamati kuu sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…