Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Adui mkubwa wa nchi hii ni ccm na rais Magufuli kwa maamuzi yake ya kukurupuka pasipo kufuata misingi ya utawala wa sheria, wala mzungu siyo adui yetu kama mnavyotaka kuaminisha wajinga maana mzungu hajaja hapa kuingia mikataba kwa bunduki bali kwa makubaliano na viongozi wa serikali ya ccm akiwamo Magufuli, hivyo ujinga na upumbavu wenu isiwe ndio sababu ya kushindwa kumtambua adui mkubwa wa taifa hili
 
Hakuna anayeshangilia majanga ya taifa, ila kama si TL wewe ungeyajua hayo? Na huyo unayemuona Godfather ndiye aliyesabavisha. Na hawezi lolote primitive wa ki sukuma mwenye asili ya Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa lakini ana nini cha kulipa huyu fukara wa ki nyarwanda. Ha akitaifishwa yeye na vizazi vyake kumi hawezi lipa hata robo ya deni. Inauma sana ka primitive kamoja kututia hasara taifa zima. Na kwa nini yeye tu, mara samaki wa meli ya wachina, mara ndege za mapangaboi. Nipeni mimi mtu huyu nimtie adabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wote ni majizi but huyu fisi aliye ndani ya butcher ni hatari zaidi

Hivi butcher kwa ulivyoiandika inamaanisha nini Ninavyojua mimi, a butcher is person who may slaughter animals. Sasa huyu fisi yuko ndani mtu anayechinja wanyama!
 
Wote ni majizi but huyu fisi aliye ndani ya butcher ni hatari zaidi

Hivi butcher kwa ulivyoiandika inamaanisha nini Ninavyojua mimi, a butcher is person who may slaughter animals. Sasa huyu fisi yuko ndani mtu anayechinja wanyama!
 
Hatutaki viongozi wanafiki na wapenda kiki. Over
 


Ila anayetutia hasara ya 87bn tubakie kumsifia tu kwa sababu ana nguvu sana? Really?
 
Hebu niambieni kwani lisu kafanya nini, haswa. Maana siku ya pili sasa kila mahali Lisu, tatizo nini ????? Kafanya nini ??? Kosa lake nini.

Mwenye hoja hebu aziweke wazi hapa siyo viroja. Wekeni hoja mezani.
 
Amani ya nchi ikivurugika wasaliti watakimbilia kwa waliowatuma wewe mleta mada uliyepo hukio nakapanya utakimbilia wapi.

Kuweni makini na wanasiasa wasio na misimamo kama hao watetezi wa accacia.
Amani ya nchi hii wa kuivuruga ni CCM hakuna mtu mwingine.
 
Ccm walikuwa wanasubiri Siku ya mnada ndio watanzania wajue kwamba ndege inauzwa,lissu mzalendo na muungwana kaamua kutustua kwamba ndege yetu inauzwa halafu kuna misukule inamlaumu,sasa angekaa kimya wakati Mali ya Tanzania inataka kupigwa mnada
Wewe mpumbavu kweli2. Bilioni 90 tshs ni pesa ndogo sana kwa serikali ya Tzania. Hvo kusema ndege itauzwa ,huo ni upuuzi uliokithiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie subirini uchaguz 2020 muone Cdm itavogaragazwa style ya mende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika mkuu !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…