Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

OK, tulishindwa rufaa wakati mh. akiwa ujenzi. Sasa tulitegemea akate rufaa nyingine? Au alipe, uwezo wa kulipa alikuwa nao?

Yule jamaa mkwere alikuwa anasafiri sana kuelekea hukohuko, kwa nini wasimkamate, wamtupe ndani mpaka deni lilipwe? Nadhani hapo ndo tungelipa faster, na tungeacha ujinga wa kukopa kopa!!!
 
Kama kungekuwa hakuna madudu Lisu angepata wapi hizo kashfa?
Imefika kipindi cha kuangalia ukweli uliopo badala ya kuleta ushabiki.

At least sasa tozo/riba itapungua kutokana na uzembe wa kutoshughulikia mambo kwa wakati.
 
 
Yote hufanyika tu, vile mwenye mbwa yu mpumbavu, katika kundi wa wajinga, vile aliamua kupuuza kila kitu mpaka maonyo, na kuona anaweza kummudu mbwa ili hali uwezo huo hakuwa nao. Kwahali hii lazima uonekane kituko kama sio kichekesho kwa watoto.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Huyo Padri wako kwa hiyo tafsiri yake sio Kweli, Kutafakari biblia yahitaji roho wa Kweli akae nawe, kwa tafsiri hiyo kondoo mnazidi kupotea, Usitafsri biblia kama Biology au Hesabu imekula kwenu, Rudi tena soma vizuri utaelewa au nitakushushia nondo za tafsiri toka kwa wataalamu wa maandiko neno Mbwa lilivyotumika siyo Mbwa unayemjua wewe
 
Weka huo ushahidi tuuone acha kutuletea hisa zako
 
Weka hapa huo ushahidi!
 
Kaka hilo unalosema ni kweli kabisa kuna watu wanahujumu taifa hili, inawezekana vipi mikataba iliyowekwa kisheria inafutwa kienyeji?, huko si kuhujumu taifa kweli?
 

Kwahio hata ankal Michuzi nae anaweka tangazo ambalo ni feki?
 
Hela unayolipwa na chama ni ndogo kuliko nguvu unayotumia humu kuwachonganisha watetezi wa rasilimali za watanzania dhidi ya wahujumu uchumi CCM
 
ilisuala lilikuwa liwee siri imekuaje limejulikana sjui watanzania hawakupaswajua yaelekea kuna kitu kilikiwa kinafunikwa sishangai mtoa siri kushambuliwa msaliti ilihali jambo ni la kweli.
 
Taarifa fake.Lisu amesema UWONGO na ni MWONGO. Eti Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi alivunja mkataba.Wongo wongo mtupu. JPM hakuwa waziri wa ujenzi wakati huo. Tundu Liso is rubbish. Naive. He is used like kondo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…