Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

Hata mimi ktk fani yangu ni wa wastani bado sijabobea!
CPengine" hapo ndio penye jibu la hoja yako. Ccm inaamini kwenye PhD na "Professorlism" ikiacha ubobezi. Sasa kama na wewe ni mbobezi kwenye "fani yako" tambua kwa sasa "vyuma vimekaza" husiforce Kabudi au Tulia kafanana na Lissu.
Hata mimi ktk fani yangu ni wa wastani bado sijabobea!


"PAMBANA NA HALI YAKO"
 

Asiombe radhi, sawa, lakini baada ya siku saba (7) msituletee vifungu vyenu vyepesi akiwa sero
 
Nachompendea anatumika kwa faida ya wa Tz,maana mmetoka povu zaidi baada ya Lissu kutuambia ukweli kuhusu ndege. Lissu tumika to the extent that everyone akili itamkaa sawasawa...
 

Unafahamu mkuu hawa wapinzani hawajatambua watumie vigezo na mbinu gani ili waweze kuwaelewesha wananchi tofauti yao wao na serikali iliyopo.

Yaani wao wakiwa na serikali siku moja Mungu akiwaajalia watafanya mambo kadha wa kadha na kadha.

Hii ndiyo mbinu kubwa inayotumiwa na wapinzani kote duniani iwe nchi zilizoendelea au nchi zinazoendelea.

Tatizo kubwa la wapinzani wa nchi zinazoendelea Tanzania ikiwemo ni kwamba wao wanakuwa rahisi kutekwa na mapebari na makabaila ili kuweza kushika madaraka.

Ndiyo maana mabepari wanaowakilishwa na haya makampuni makubwa na makabaila ambao ni wale watu wanaotawala kwa kutumia ardhi kama Edward Lowasa, Frederick Sumaye na wengine wa nje wanakuwa rahisi kuwatumia watu kama Tundu Lissu lakini kwa uangaaiifu sana.

Siku zote huwezi ukakaa na mzungu halafu mkubaliane kitu chochote kwa manufaa ya wote bali ni kwa manufaa ya wachache.

Na Tundu Lissu anadhihirisha hilo kwa kukaa chini na hao wazungu ili kujadili namna ya kumhujumu raisi John Magufuli kwa kutumia sababu ambazo zingine si sahihi.

Wapinzani wanatakiwa siku zote kujifunza kuweka mambo mbadala ya kufanya tofauti na serikal iliyopo na wakawa wanawaeleimisha wapiga kura.

Upinzani wa Tanzania na khasa wa leo ni wa wale wachumia tumbo na watafutaji matatizo kwa kuongea uchonganishi baina ya serikali na wanannchi huku wakitegemea kupata huruma kutoka kwa haohao wananchi.
 
ccm mmesha ishindwa nchi ! Mnatapatapa kama mmnyweshwa sumu ! Eti "Msemaji wa serikali " ipi ? naserikali yenyewe hoi taabani haijiwezi,imebaki kuficha vijisiri vya kijinga kuonyesha walivyo mabashite. Na kuwakaba zito na Lisu,
Zito sawa mkabeni tu manake anarangi mbili.yakijani na zambarau,huyo wenu,hatumtilii maanani.
Alimsifia makomeleo Kigoma.ila Lisu mumkome na mkae nae mbali.Yaana ni furaha isiyo kifani kuona ccm wanayodhalilika na kupoteana kimawazo, kimatendo,na kiakili !.kura za wizi hizo mpaka mlie poo !.na bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaendelea kumlaumu TL bure kwani madhila yanayotufika sasa ni mazao ya uongozi mbovu wa chama cha mapinduzi. Wala hana baya analosababishia nchi. Acha tudaiwe na tulipe kwani DAWA YA DENI NI KULIPA WALA SIO KUMLAUMU LISSU. Kama kuna walau sahihi moja ya TL katika mikataba HOVYO ambayo imetufikisha hapa ndo lawama zenu zitakuwa credible. Hakuna uzalendo katika madeni, wacha tulipe ili tuwe huru kujitawala, huwezi ukawa unafanya manunuzi makubwa wakati tuna madeni makubwa kiasi hicho.
Hiyo pesa ya kununua ndege ingeelekezwa katika kuboresha maisha ya vijana wa nchi hii kwa kuwapatia mikopo yenye riba nafuu tungesonga mbele haraka na kwa kasi na wadeni wetu wangekuwa wavumilivu.... sasa kwa spending hizi zisizo na priorities ACHA TUDAIWE.
Naandika haya nikiwa na furaha iliyochanganyika na majonzi, ni furaha kwa sababu sasa tutasaini mikataba kwa akili na ni majozi kwa sababu tunaenda kulipa madeni kadri ya mikataba hovyo tuliyoingia kama nchi...na hii ni maumivu kwa sisi wananchi wenye kipato kidogo.

ACHA TUPAMBANE NA HALI YETU, LISSU NI MZALENDO WA KWELI.
 
sasa unasema ccm wanawafahamu kwann ww usiwataje kwa majina hapa

G.O.M.D
 
Taarifa fake.Lisu amesema UWONGO na ni MWONGO. Eti Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi alivunja mkataba.Wongo wongo mtupu. JPM hakuwa waziri wa ujenzi wakati huo. Tundu Liso is rubbish. Naive. He is used like kondo..
Hata kama Waziri hakuwa Magufuli, lakini kuna waziri fulani wa CCM alifanya maamuzi hayo na CCM nzima ikamuunga mkono. Kibaya zaidi, hata baada ya kushindwa kesi, tukapotezea as if anayetudai atasahau. Huu ni ujinga wa mbuni kuficha kichwa huku kiwiliwili kipo wazi
 
Tatizo hawa makajanja mjibwa koko manyani mwitu mashetani chadema .chaguo la mungu magufuri amewashika pabaya maaana kila ujinga wanao ongea basi mungu anamsimia chaguo letu magufuri anashinda amini nakuambia hawa mashetani chadema awatoshinda wanajisumbuwa
 
Fidia kwa
1: kubomoa kituo cha mafuta Mwanza bila kufuata sheria.

2:Meli ya samaki ya wachina

3:Ujenzi barabara Bagamoyo- Wazo

4:Uuzaji holela wa nyumba za serikali

5:Mv Bagamoyo

I never trusted that Chato Nigga at all.


Hebu fikiria mtu unamwita raisi wako hilo neno eti kwasabau tu unatumia Kompyuta ukiwa nje ya Tanzania.

Ni hasira gani hiyo uliyo nayo juu ya huyu kiongozi?

Kila binadamu ana mapungufu yake na hata wewe ungekuwa kiongozi leo ni lazima ungekuwa na kasoro zako.

Lakini kwa hii ya name calling umekwenda too much step brother/ sister.

Tafakari.
 
Povu jingi huku deni linalipwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…