Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...


Mbona mnapenda sana kukimbilia kutumia neno ushoga?

Mimi ni mwanamume rijali nina wake watatu mmoja ni mzungu tuna watoto wawili, mke wangu wa pili ni wa kutoka kwetu Tanga na nina watoto wawili nae.

Mke wangu wa mwisho ni mchina na nina mtoto mmoja nae.

Wake zangu wote wapo sawa hakuna matata.

Au nikusalime kwa kichina, Nihao?

Maana yake ni hali yako au kwa kiingereza -how are you?

Halafu mwisho nashauri tuache kabisa tabia ya kutukanana ilhali hatufahamiani hapa mtandaoni.
 
Na hili la 1.3 tirion la samaki wa magufuri nani muhusika?kwann mnatetea upumbavu nyie manyang'au?hili la nyumba za serikali nani alihusika?mbona wapumbavu japo kidogo tu hambadiliki?ni nani aliyewaroga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio kosa la zamani, tangu uncle magu aingie madarakani maamuzi ya kibabe yasiyofuata utaratibu wa kisheria ndio imekuwa kigezo cha uthubutu wa kiongozi, sasa shida inakuja pale tunapoelimishwa umuhimu wa kutumia vigezo vya kisheria tunapofanya maamuzi, Na madhara yatakayopatikana kufuatia maamuzi hayo ya kibabe, tunachofanya Ni kumkamata mnenaji wa sheria Na kumfungulia mashtaka ya UCHOCHEZI halafu leo maono yanatimia tunaanza kuzungushazungusha macho.
 
...kipindi cha kapeni mbona hamkusema kama kuna deni tunadaiwa na lilisabababishwa na waziri Magufuli!...
Mkuu, kipindi hicho cha kampeni bombardier ilikuwa haijanunuliwa na hivyo ilikuwa haijakamatwa. Sasa hivi imekamatwa na ndio karata zenyewe za kisiasa zinavyochezwa, yaani katika muda muafaka. Wahenga wa Uingereza walisema strike while the iron is hot!

Halafu lazima ujue Lissu anataka kudhihirisha yale aliyosema wiki chache zilizopita kuhusu kuvunja mikataba kiholela, so nadhani kwake ni jambo lililodhihirika kuwa ana maono ya mbali kuliko serikali, pamoja na kwamba linatuumiza sana sote
 
Ni matter ya kuona ujenzi ulianza lini na mkataba ulifutwa lini. Hukumu inaweza iakaja hata baada ya miaka miwili or something like that. Cheki kupata uhakika
 
Kulinda makaburi sii kazi ya mchezo, waulize Wale waliolinda kaburi lá Yesu alipokufa, yaani hawakutaka hata marehemu afufuke, na alipofufuka walikubalina wawasingizie wapinzani kuwa Ndio wameiba maiti, ccm mnakazi kipindi hiki, yaani mmejipa kazi ya kulinda makaburi??? Nani kawaaajiri kwa kazi hiyo? Mtaweza kweli kuyalinda? Mbona yapo mengi? Shida ni kwamba marehemu wanafufuka wenyewe na wanatoka nje huku walinzi mmelala, aibu ya Mwaka. Kazi tuliyowatuma ndiyo hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulinda makaburi sii kazi ya mchezo, waulize Wale waliolinda kaburi lá Yesu alipokufa, yaani hawakutaka hata marehemu afufuke, na alipofufuka walikubalina wawasingizie wapinzani kuwa Ndio wameiba maiti, ccm mnakazi kipindi hiki, yaani mmejipa kazi ya kulinda makaburi??? Nani kawaaajiri kwa kazi hiyo? Mtaweza kweli kuyalinda? Mbona yapo mengi? Shida ni kwamba marehemu wanafufuka wenyewe na wanatoka nje huku walinzi mmelala, aibu ya Mwaka. Kazi tuliyowatuma ndiyo hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hili la 1.3 tirion la samaki wa magufuri nani muhusika?kwann mnatetea upumbavu nyie manyang'au?hili la nyumba za serikali nani alihusika?mbona wapumbavu japo kidogo tu hambadiliki?ni nani aliyewaroga?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa si unaona unavyoonyesha unyang'au na upumbavu wako hapa, kwani tunasungumzia masuala ya samaki hapa na hizo trilioni 3?

Tena sifahamu umeandika kitu gani hapo eti nini 1.3 tirion?
 
Umezungumza kwa busara sana hadi nimekupenda mtu wa nguvu

SONY Xperia Z5 Premium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…