Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

Mkuu umesema ukweli baada ya kutolewa bocco Kuna kitu tunapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba wanapenda kupiga kona fupi ndio maana Okwi + Chama wanahusika sana... Ila kama ni ndefu kweli Zana apewe jukumu Hili la kumwaga maji ndani.
Pia natamani siku moja nione combi ya chama+ niyonzima. Haruna amerudi katika form lakini naona kocha hajamuamini bado pia aanze kumpa nafasi ndemla atampa vitu vizuri kuliko muzamir

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia natamani siku moja nione combi ya chama+ niyonzima. Haruna amerudi katika form lakini naona kocha hajamuamini bado pia aanze kumpa nafasi ndemla atampa vitu vizuri kuliko muzamir

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaongea maana Yanga haijafanya usajili wa maana..Bashite kawabeba mnajua Yusuph angekuwepo hakuna kenge yoyote anayeweza kupumua ..alimnunua Chirwa $100 K hakuna mchezaji Bongo aliyenunuliwa kwa bei hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…