Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

Mshabiki mwezangu wa soka, unamzungumziaje Clotous Chota Chama?

TUKIACHA USHABIKI PEMBENI, LAITI IBRAHIM AJIBU ANGEJITAMBUA AKAACHA UVIVU NA AKAJITUMA NA KUFANYA MAZOEZI YA ZIADAMWENYEWE SASA HIVI TUNGEKUWA TUNABISHANA HAPA KATI YA AJIBU NA CHAMA NANI ZAIDI. LAKINI KWA SASA AJIBU ANASUBIRI SANA KWA CHAMA KWANI HII MASHINE YA ZAMBIA NI HABARI NYINGINE. NA SIKU AMBAYO AUSEM ATAKUJA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU YA KUWAPANGA OKWI, KAGERE, CHAMA NA DILUNGA KWA PAMOJA AKAMTUPA BOKO BENCHI NDIO SIKU MAAFA YATAKUWA YANAANZA LIGI KUU KWANI KUNA TIMU ZITAKULA HATA GOLI TANO.
Mkuu umesema ukweli baada ya kutolewa bocco Kuna kitu tunapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba wanapenda kupiga kona fupi ndio maana Okwi + Chama wanahusika sana... Ila kama ni ndefu kweli Zana apewe jukumu Hili la kumwaga maji ndani.
Pia natamani siku moja nione combi ya chama+ niyonzima. Haruna amerudi katika form lakini naona kocha hajamuamini bado pia aanze kumpa nafasi ndemla atampa vitu vizuri kuliko muzamir

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia natamani siku moja nione combi ya chama+ niyonzima. Haruna amerudi katika form lakini naona kocha hajamuamini bado pia aanze kumpa nafasi ndemla atampa vitu vizuri kuliko muzamir

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaongea maana Yanga haijafanya usajili wa maana..Bashite kawabeba mnajua Yusuph angekuwepo hakuna kenge yoyote anayeweza kupumua ..alimnunua Chirwa $100 K hakuna mchezaji Bongo aliyenunuliwa kwa bei hiyo
 
Back
Top Bottom