Mshahara kiasi gani unatosha kwa baba wa familia ya watoto watatu?

Msahahara hata iwe 50,000 unatosha kwa mwezi,sasa inategemea na matumizi yako.
 

Hesabu zako haziko sawa

Ukipiga hapo bila kuweka hizo 10K za kila siku inafika 280K
Ukiweka na hizo 10K*30 inakuwa 580K, Emergency inakuwa 640K

Kwa hizi hesabu maama yake hii familia inatakiwa angalau ipate kuanzia Laki 9 kila mwezi, maana hapo Nauli ya Baba na chakula kazini
 

[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Hawezi kufuga kuku huyu masta😃😃
 
Kwa familia yako.. Unweza tumia 7,000 per day.. Pia punguza matumizi ya vitu visivyo vya lazima sana.. Mfano kula nyama kila mlo au maziwa au azamtv ya 23000 unaweza nunua cha 8000 wali kwa wıkı mara moja
Maisha yatakua hayana maana kabisa kama utaishi kwa kujibana iv.
 
nimepanga nalipa kodi 300,000 kwa mwezi, ada za watoto jumla kuu ni 8,000,000 tsh kwa mwaka
Duu Kodi yako ni mshahara wa ndoto yangu kwasasa Mungu fundi.

Hapo naona shida ni Standard unaishi kwa standard ya juu Sana kulinganisha na kipato, shusha standard kidogo, Kodi ya 300K tu ina reflect matumizi yako yalivyo juu anyway kilamtu anapenda kuishi standard na unaweza kuja na hoja kutoa sababu zenye mashiko kwaninj unaishi kwa Kodi ya 300K, ada 800K ila still unaweza ukapunguza pesa ikatosha.

Kama unapenda hio standard hakuna namna tafuta kazi ya kulipwa 5M
 
Mkuu, ahsante sana kwa hii kanuni.
 
Simply; mshaara ukitoka nunua gunia la mchele kilo mia, unga kilo 50, mkaa na gas, weka luku ya kutosha na dumu la mafuta. Hii itakusaidia sana. Miezi miwili mbili utakua na akiba na hela itaanza kutosha. Kwenye familia ni chakula na matumizi mengi ndio kinachukua hela nyingi.

Mwisho, uokoke uwe mchaMungu, uenda tatizo laki ni la kiroho ambapo ata ukipata milion 10 kwa mwezi itakua kazi bure.
 

Hapo hajalipia kodi ya pango kama ajajenga,ajalipia azam tv [emoji342] watoto wamuone osman bay [emoji23]ajafanya uraibu wake mfn.pombe au sigara inshort hakuna formula maalum ila kueka akiba ya chakula ni jambo muhim zaid
 
Badara ya kuparangana unasubili hadi watoto wale nyasi...., Hamna mshahara hapo bro.
 
Kipindi niko na masela hio elf 7 ni mlo wa mchana kwa wanaume watatu tuh[emoji23]alikua akiongezaka mtu lazima tuongeze mchango ukizingatia mmepiga kijiti cha bob [emoji23][emoji23][emoji23]chakula kuisha ni chap kwa harakaa
 
Ongea na Mwamposa aliwezaje wakati alikuja mjini bila vyeti, ila anakusanya jiji zima analigongesha minoti
 
Naamini kabisa hapa tatizo ni la kiroho. Milioni 1 take home na bado mtu anapata stress!! Kwa kweli inabidi aokoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…