Kwahiyo wewe ni mwizi? Au hiyo tofauti hapo unaifidiaje?Nimepanga nalipa kodi 300,000 kwa mwezi, ada za watoto jumla kuu ni 8,000,000 tsh kwa mwaka
Mkuu hapa kwenye nyumba na ada ndipo pa kupafanyia kaziNimepanga nalipa kodi 300,000 kwa mwezi, ada za watoto jumla kuu ni 8,000,000 tsh kwa mwaka
Nimecheka sana mkuu. Jamaa anatenda miujiza au huenda analipwa mshahara mkubwa pasipo yeye mwenyewe kujua.Kwahiyo wewe ni mwizi? Au hiyo tofauti hapo unaifidiaje?
1,000,000 × 12 = 12,000,000
300,000 × 12 = 3,600,000
8,000,000 + 3,600,000 = 11,600,000
67% ya take home ni ADA tu? Kuna tatizo sehemu!
Matumizi mengine yoote yaliyobaki baada ya ADA na KODI, yanaangukia kwenye 400,000 kwa miezi 12?
Kama hivyo ndivyo, bado uko sehemu sahihi, endelea kutenda miujiza!
Ndugu nimejaribu kuangalia nyuzi zako za nyuma kwa kweli unahitaji maombi sanaNimepanga nalipa kodi 300,000 kwa mwezi, ada za watoto jumla kuu ni 8,000,000 tsh kwa mwaka
Hapo JF ndipo inaposhangaza,anakuja kutaka mawazo alafu anakuja na uongo ukusaidie nini sasa? Yaani matumizi yote ya mwaka mzima yanazidi kipato anachokipata kwa mwakaNimecheka sana mkuu. Jamaa anatenda miujiza au huenda analipwa mshahara mkubwa pasipo yeye mwenyewe kujua.
kwa maisha ya arusha embu jitahidi mkeo apate cha kufanya mfano jenga mabanda simpo fatilia makala za ufugaji mtandaoni aanze kufanya ufugaji ata wa bata na wewe badala ya kupitia baa kunywa bia rudi nyumbani msaidie mkeo kwenye huo mradi chochote utachofanya fanya kwa ukubwa ndo utapata matokeo positive.Nimepanga nalipa kodi 300,000 kwa mwezi, ada za watoto jumla kuu ni 8,000,000 tsh kwa mwaka
Sioni tatizo hapo ,maana anaweza kutumia kama overview muhusika atajipangia mwenyewe binafsi nimeilewa na nimetumia kwa baadhi ya mambo ila sasa nitafanya na zaidi kutokea humu kwa mfano sijawahi weka pocket money kwa wife matumizi yake binafsi huwa nasubiri mpaka aniombe ,sijawahi fikiria kumpa ki mradi chake pendwa, then kwangu ni mpango poa nitauboresha tuHesabu imejaa uwongo,haina uhalisia.
Umesema baada ya kununua kila kitu akaweka ndani atakuwa ametumia 200k,alafu awe anaacha hela ya mboga na nauli za watoto kila siku elfu 10. Hiyo 10k peke yake Mara mwezi ni laki 3. Jumlisha na hiyo laki mbili,inakuwa laki 5. Katika hesabu yako ya laki 6 inabaki laki moja.
Hapo sijajumlisha hesabu zingine ulizoandika hapo,maji,umeme,nauli,Kodi 50k na bla bla zingine.
Rudi edit,Kisha mshauri tena.
mkuu umenena vema sana mimi mwenyewe mke huwa nampa pesa on demand, akitaka kununua kitu nampa pesa, akihitaji pesa kwajili ya ishu flani nampa, na sio kwamba kuna fixed budget ambayo nimetenga eti nampa tu bila sababuSioni tatizo hapo ,maana anaweza kutumia kama overview muhusika atajipangia mwenyewe binafsi nimeilewa na nimetumia kwa baadhi ya mambo ila sasa nitafanya na zaidi kutokea humu kwa mfano sijawahi weka pocket money kwa wife matumizi yake binafsi huwa nasubiri mpaka aniombe ,sijawahi fikiria kumpa ki mradi chake pendwa, then kwangu ni mpango poa nitauboresha tu
ur very right brother, matumizi yangu ya mwaka yanazidi kipato changu, kwahyo bili kubwa kama za ada inabidi niparangane kweli kweli kuzilipa kwa kutafuta madili tofauti na hapo ni msalaHapo JF ndipo inaposhangaza,anakuja kutaka mawazo alafu anakuja na uongo ukusaidie nini sasa? Yaani matumizi yote ya mwaka mzima yanazidi kipato anachokipata kwa mwaka
Sioni tatizo kwenye hizo nyuzi zakeNdugu nimejaribu kuangalia nyuzi zako za nyuma kwa kweli unahitaji maombi sana
umekuja kutuchezea akili tu hapaView attachment 2654854View attachment 2654855View attachment 2654856
Angalia ada yako kule juu ujakosea Ni 8M au 800Kur very right brother, matumizi yangu ya mwaka yanazidi kipato changu, kwahyo bili kubwa kama za ada inabidi niparangane kweli kweli kuzilipa kwa kutafuta madili tofauti na hapo ni msala
Mtani wangu wa mwakaleli kwanza nikwambie tu kuanza kufikilia namna ya kutunza familia kwa kutegemea scale ya mshahara that is a big loss,ungezungumzia income kwa ujumla afadhali ningekuelewa kwa maana ungekuwa umejumuisha mshahara na mipango mingine ya kiuchumi.vijana inaonekana mnaogopa sana kuwahi kuzaa mkifikiri kwamba ukichelewa kuna afadhali ya kiuchumi . Ukichelewa madhara ni mengi sana, unakuta baba ana miaka 50 mtoto ana miaka 10, ni bora kuwahi uzoee kukimbizana na hizi budgets kabla ya uzee.
Huyu mikopo itamuhusu sana.Hapa ndo tatizo lilipoanzia
Maombi yanahitajikq hapo aisee, jamaa ana makasiriko na watoto wa 1998😀😀Ndugu nimejaribu kuangalia nyuzi zako za nyuma kwa kweli unahitaji maombi sana
umekuja kutuchezea akili tu hapaView attachment 2654854View attachment 2654855View attachment 2654856
Mkuu, kuwa na watoto 3 ni kuzaa hovyo?Kwa hali ilivyo sasa sishauri mtu kuzaa hovyo bila kupiga hesabu za gharama za maisha ni hatari sana.
Nafikiri amekosea aisee, itakua alimaanisha laki 8. Maana hata Chuo Kikuu kozi ya Milioni 2 kwa watoto 3 ingekua milioni 6 kwa mwaka, sasa huyu anaongelea habari za school bus, ni lazima watoto wapo primary. Hapo ada ni laki 8!!Angalia ada yako kule juu ujakosea Ni 8M au 800K