Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

Mwanangu umesema na la kwangu! Watu wanatusha wenzao bila ufafanuzi! Huu dio ushauri bora kabisa! Laki 8 mbona jamaa atasomesha bila shida!
 
Somesha mtoto shule unayoimudu ya serikali, msimamie mtoto, Jenga mahusiano mazuri na walimu wake, mlipie tuisheni, fuatilia maendeleo yake kwa mwalimu wake, mtie moyo mtoto. Mtoto atakuwa vizuri sana, huku na wewe utakuwa na furaha na familia yako.
Kumsomesha mtoto shule za gharama kubwa nje ya uwezo wako, siku akienda kinyume na vile ulitarajia utaangula na presha.
 
Hajapigia hesabu dharura, wazazi, kuweka akiba ya maendeleo
nimejaribu kumtoa uoga kwa kuweka hiyo hesabu ya ada. nikasema mengine atachakata mwenyewe kulingana na mahitaji yake; wengine hawana hawo wazazi wa kuwapa pesa kila mwezi. maisha hayana formula unajipanga kulingana na maisha yako.
 
katika mambo magumu kbs kwa binadamu ni ile kukubali mabadiliko, mfano kwenye hili suala la elimu mbona mnashindwa kukubali kubadilika, kwann utumie gharama nyingi kwenye elimu ya theory hii afu mtu aje kurudi kwako tena mtt yuko broke, zamani elimu hii ililipa lkn sasa hv ni changamoto, usitumie pesa nyingi kusomesha, wekeza kwenye biashara za familia mtt akikua aje aendeleze, nunua mashamba, mtt akikua atakuta mali atasimamia,
 
😀😀
 
Sawa, mwakani mwingine inatakiwa aanze shule ada tshs 1.2m
 
Mnoo
Na kutuumizia hao wtt wetu
Wtt wanachapwa hatari. Kupasi kwa lazima, wtt wote laziim wapate 1 ya point 7.
Mtt huyo huyo anopata 1 ya pint 7 hana hata maarifa ya maisha. Wanakuwaga kama marobot
Kumbe na wewe umeshituka.
Kuna familia tunao wote waliosoma kayumba na ems.
Ila hawa wa ems ! Magoigoi sana, huko shuleni sijui wanawafanya nn?
 
Kumbe na wewe umeshituka.
Kuna familia tunao wote waliosoma kayumba na ems.
Ila hawa wa ems ! Magoigoi sana, huko shuleni sijui wanawafanya nn?
Kweli wtt hawana maarifa. Wao ni kukariri tu basi. Hawajui kuchakata akili zao hata kwa mambo madogo madogo. Yaani wazazi wa sasa tuna kazi sana.
Lkn ndio mifumo, haiepukiki.
Mana kuna wazazi wengine ndio wanapenda hasa wtt wao wawe busy ili wasibughudhiwe kwenye mambo yao
 
Wanawake wanaelewa sasa? Akishaona jirani amepeleka watoto shule za gharama basi atamsumbua mume mpaka watapeleka watoto huko...then mume anaendelea kubabuka tu.

Hizi ndoa hizi, wanaume Moto wanao🙌
Wanawake wengine hawajitambui yaani badala ya kupambana na maisha na kukubali uhalisia wao wapo kwenye ushindani zaidi
Ndio maana wanaume wanakufa mapema na kuwaacha wakiduwaa duniani utafikiri ndio wameiona leo
 
Wanawake wengine hawajitambui yaani badala ya kupambana na maisha na kukubali uhalisia wao wapo kwenye ushindani zaidi
Ndio maana wanaume wanakufa mapema na kuwaacha wakiduwaa duniani utafikiri ndio wameiona leo
Hakika na ndiyo maana mnakufa mapema
 
Umetoa madini lakini watoto waliotoboa kwa Fedha za Baba zao hawatakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…