BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Huo mshahara ni mdogo sana, labda ujibane sana na uishi maisha magumu sana ndio utasomesha huko English medium.
Bora uwekeze UTT tu
Bora uwekeze UTT tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanangu umesema na la kwangu! Watu wanatusha wenzao bila ufafanuzi! Huu dio ushauri bora kabisa! Laki 8 mbona jamaa atasomesha bila shida!Mahesabu tu ukiyapanga vizuri kila kitu kinakaa sawa (usisahau self discipline kwenye matumizi ya pesa). Nakushauri usikope ili ulipe ada. Ada ipangilie kutoka kwenye kipato (mshahara wako). Kwa mfano ada ya mwaka 1,800,000. Kila robo mwaka utatoa 450,000. Ina maana kila mwezi katika mshahara wako utatenga 150,000 na kubakiwa na 650,000/= Sasa hapo chekecha mahesabu yako. Kama una kamradi ka ice-cream unakoweza kusave 150 kila mwezi itakuwa poa sana. Mfungulie mkeo genge hapo nje litasaidia vingine. USIOGOPE. USIKOPE KULIPA ADA. Huu ni mfano unaweza jipanga uwezavyo.
Hajapigia hesabu dharura, wazazi, kuweka akiba ya maendeleoMwanangu umesema na la kwangu! Watu wanatusha wenzao bila ufafanuzi! Huu dio ushauri bora kabisa! Laki 8 mbona jamaa atasomesha bila shida!
kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule
View attachment 3239070
nimejaribu kumtoa uoga kwa kuweka hiyo hesabu ya ada. nikasema mengine atachakata mwenyewe kulingana na mahitaji yake; wengine hawana hawo wazazi wa kuwapa pesa kila mwezi. maisha hayana formula unajipanga kulingana na maisha yako.Hajapigia hesabu dharura, wazazi, kuweka akiba ya maendeleo
Halafu baadae anakutana na rungu la HESLB na kuanza kulialia. Hao watoto HESLB itawaona ni wa kishua na kuwanyima mkopo
😀😀Mnazaa mitoto haina akili mnasingizia Kayumba! Mtoto kama ana akili na ufahamu wa kutosha hata akisoma jalalani anafaulu vizuri kabisa
Mnazaa mitoto na kuidekeza inakua haina adabu wala heshima halafu mitoto yenu ikiadhibiwa huko shuleni mnasema Kayumba wananyanyasa watoto
Hii pia inafaida zake boss.Tatizo shule za Serikali wanafunzi ni wengi sana, darasa lina Wanafunzi 200.
Sawa, mwakani mwingine inatakiwa aanze shule ada tshs 1.2mMahesabu tu ukiyapanga vizuri kila kitu kinakaa sawa (usisahau self discipline kwenye matumizi ya pesa). Nakushauri usikope ili ulipe ada. Ada ipangilie kutoka kwenye kipato (mshahara wako). Kwa mfano ada ya mwaka 1,800,000. Kila robo mwaka utatoa 450,000. Ina maana kila mwezi katika mshahara wako utatenga 150,000 na kubakiwa na 650,000/= Sasa hapo chekecha mahesabu yako. Kama una kamradi ka ice-cream unakoweza kusave 150 kila mwezi itakuwa poa sana. Mfungulie mkeo genge hapo nje litasaidia vingine. USIOGOPE. USIKOPE KULIPA ADA. Huu ni mfano unaweza jipanga uwezavyo.
Kumbe na wewe umeshituka.Mnoo
Na kutuumizia hao wtt wetu
Wtt wanachapwa hatari. Kupasi kwa lazima, wtt wote laziim wapate 1 ya point 7.
Mtt huyo huyo anopata 1 ya pint 7 hana hata maarifa ya maisha. Wanakuwaga kama marobot
Kweli wtt hawana maarifa. Wao ni kukariri tu basi. Hawajui kuchakata akili zao hata kwa mambo madogo madogo. Yaani wazazi wa sasa tuna kazi sana.Kumbe na wewe umeshituka.
Kuna familia tunao wote waliosoma kayumba na ems.
Ila hawa wa ems ! Magoigoi sana, huko shuleni sijui wanawafanya nn?
Wanawake wengine hawajitambui yaani badala ya kupambana na maisha na kukubali uhalisia wao wapo kwenye ushindani zaidiWanawake wanaelewa sasa? Akishaona jirani amepeleka watoto shule za gharama basi atamsumbua mume mpaka watapeleka watoto huko...then mume anaendelea kubabuka tu.
Hizi ndoa hizi, wanaume Moto wanao🙌
Hakika na ndiyo maana mnakufa mapemaWanawake wengine hawajitambui yaani badala ya kupambana na maisha na kukubali uhalisia wao wapo kwenye ushindani zaidi
Ndio maana wanaume wanakufa mapema na kuwaacha wakiduwaa duniani utafikiri ndio wameiona leo
Yeah, miezi 8 inalipa ada zote mbili, mshahara nakula na kunywaKwa hiyo unachukua kodi ya nyumba yako unaenda kulipia ada ENGLISH MEDIUM?
Umetoa madini lakini watoto waliotoboa kwa Fedha za Baba zao hawatakuelewa.elimu hii bado haina connectedness na who we are supposed to align with,kusomesha shule ya private nje ya uwezo hakumaanishi kwamba wewe ndio champion ktk eneo la kumjenga mtoto,if u deeply dig ni UTUMWA ULIO RUDI KWA MLANGO WA NYUMA,afanye research ndogo tu kwa kizazi hiki cha yes no akikitazama vizuri kinaweza kufanya nini cha kuikomboa Afrika????
asiishi kwa mkumbo ambao wazazi wengi wamebebwa wakati hata huo uwezo haufiki,atajikuta anasucrifice na kubaki na wounds ambazo hatoweza kuzitibu hapo baadae ambazo in return atazihamishia kwa hao hao watoto maana atajikuta hapati matokeo yanayoendana na matokeo aliyo yatarajia,ELIMU ni zaidi ya inayotolewa darasani,
elimu inaanzia nyumbani kwao,mama/baba anapaswa kuwa ni mwalimu mkuu wa kizazi,mitaala hii ya kizungu inatupa highlight tu ila hatukuumbwa ili tuishi kwa mitaala ya kizungu,kama anaweza kunielewa ni apeleke shule ambayo imo ndani kabisa ya uwezo wake na abaki na uwezo wa savings ambazo atamudu kuzigeuza na kuwa investment,life needs more than hiyo inayoitwa elimu ya mzungu!!!