Usihadaike na ID za JF, lengo ni kuwapoteza wanaotaka kutujua. Nipo JF tangu 2009 nikiwa masomoni Malaysia nilipojiungia huko ili kumuunga mkono aliyekuwa mwenyekiti wangu wa TYCS mkoa wa Dar es Salaam, Maxence Mello baada ya kuvutiwa na ubunifu wake. Unadhani tangu wakati huo nimekuwa na ID hiyo hiyo?Hakuna mwenye nyumba anaeitwa " Lupweko"
100% FactHuwa nashangaa sana watanzania wanasomesha watoto kwa gharama kubwa masomo magumu alafu watoto zao wanaishia kulipwa mishahara ya 500k - 1.5M.
Huu ni uchizi kiwango cha Sgr!!!
100% Factkatika mambo magumu kbs kwa binadamu ni ile kukubali mabadiliko, mfano kwenye hili suala la elimu mbona mnashindwa kukubali kubadilika, kwann utumie gharama nyingi kwenye elimu ya theory hii afu mtu aje kurudi kwako tena mtt yuko broke, zamani elimu hii ililipa lkn sasa hv ni changamoto, usitumie pesa nyingi kusomesha, wekeza kwenye biashara za familia mtt akikua aje aendeleze, nunua mashamba, mtt akikua atakuta mali atasimamia,
FactHii pia inafaida zake boss.
Hivi umewahi fanya kazi na mtoto aliyesoma ems na aliyesoma kayumba? Wana utofauti mkubwa sana
I was just joking mkuuUsihadaike na ID za JF, lengo ni kuwapoteza wanaotaka kutujua. Nipo JF tangu 2009 nikiwa masomoni Malaysia nilipojiungia huko ili kumuunga mkono aliyekuwa mwenyekiti wangu wa TYCS mkoa wa Dar es Salaam, Maxence Mello baada ya kuvutiwa na ubunifu wake. Unadhani tangu wakati huo nimekuwa na ID hiyo hiyo?
100% FactHapo ndugu ni unaenda kununua kiingereza kama lugha ya kufundishiwa mwanao. Jitahidi ukanunue maarifa sio lugha ya kufundishia.
Tosheka na mshahara wakoSasa itakuwaje🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Hafi mtu hapa kwa ajili ya mwanamke 😄Hakika na ndiyo maana mnakufa mapema
Yeah,ishi sana mwamba..Rudi huku basi😔Hafi mtu hapa
Mungu anipe afya njema,Yeah,ishi sana mwamba..Rudi huku basi😔
Aaah we! Sitaki🤣Tosheka na mshahara wako
Sasa nenda kwenye urubani upoteze hata hicho kidogo.Aaah we! Sitaki🤣
We nifundishe bwana, nitajua huko huko.Sasa nenda kwenye urubani upoteze hata hicho kidogo.
Siwezi kukufundisha kitu inayohatarisha uhai wakoWe nifundishe bwana, nitajua huko huko.
unatafuta stress za bure kwani kule kayumba watoto si wanasoma bure? kwahiyo ukishajimwabafai hivyo wakimaliza ndio watapata ajira ama? peleka kayumba hela nyingine wekeza kwenye biashara acha uboyakama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule
View attachment 3239070