Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

Hakuna mwenye nyumba anaeitwa " Lupweko"
Usihadaike na ID za JF, lengo ni kuwapoteza wanaotaka kutujua. Nipo JF tangu 2009 nikiwa masomoni Malaysia nilipojiungia huko ili kumuunga mkono aliyekuwa mwenyekiti wangu wa TYCS mkoa wa Dar es Salaam, Maxence Mello baada ya kuvutiwa na ubunifu wake. Unadhani tangu wakati huo nimekuwa na ID hiyo hiyo?
 
Huwa nashangaa sana watanzania wanasomesha watoto kwa gharama kubwa masomo magumu alafu watoto zao wanaishia kulipwa mishahara ya 500k - 1.5M.

Huu ni uchizi kiwango cha Sgr!!!
100% Fact
 
katika mambo magumu kbs kwa binadamu ni ile kukubali mabadiliko, mfano kwenye hili suala la elimu mbona mnashindwa kukubali kubadilika, kwann utumie gharama nyingi kwenye elimu ya theory hii afu mtu aje kurudi kwako tena mtt yuko broke, zamani elimu hii ililipa lkn sasa hv ni changamoto, usitumie pesa nyingi kusomesha, wekeza kwenye biashara za familia mtt akikua aje aendeleze, nunua mashamba, mtt akikua atakuta mali atasimamia,
100% Fact
 
Usihadaike na ID za JF, lengo ni kuwapoteza wanaotaka kutujua. Nipo JF tangu 2009 nikiwa masomoni Malaysia nilipojiungia huko ili kumuunga mkono aliyekuwa mwenyekiti wangu wa TYCS mkoa wa Dar es Salaam, Maxence Mello baada ya kuvutiwa na ubunifu wake. Unadhani tangu wakati huo nimekuwa na ID hiyo hiyo?
I was just joking mkuu
 
Hapa mjadala ni EMs au ni kwa namna gani atamudu kuendesha familia na mshahara wa 800k? Naona wengi wanatoa maoni kwa hisia wakizikandia EMs, binafsi ningemshauri kuongeza kipato zaidi na sio kutegemea tu huo mshahara. Hata akiwatoa EM akawapeleka gavoo kama hatakua na mentality ya kudouble kipato chake kila baada ya muda fulani itafika kipindi huo mshahara wa 800k hautakua kitu tena japokua watoto wapo gavoo.

Akili ni yake usikae kutegemea chanzo kimoja cha mapato utaumia.
 
kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule

View attachment 3239070
unatafuta stress za bure kwani kule kayumba watoto si wanasoma bure? kwahiyo ukishajimwabafai hivyo wakimaliza ndio watapata ajira ama? peleka kayumba hela nyingine wekeza kwenye biashara acha uboya
 
Back
Top Bottom