Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Usihadaike na ID za JF, lengo ni kuwapoteza wanaotaka kutujua. Nipo JF tangu 2009 nikiwa masomoni Malaysia nilipojiungia huko ili kumuunga mkono aliyekuwa mwenyekiti wangu wa TYCS mkoa wa Dar es Salaam, Maxence Mello baada ya kuvutiwa na ubunifu wake. Unadhani tangu wakati huo nimekuwa na ID hiyo hiyo?Hakuna mwenye nyumba anaeitwa " Lupweko"