Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

Mshahara laki 8 ili upate maendeleo inatakiwa watoto wasome shule za serikali. Tazama huyu baba anavyoteseka

Kitu muhimu ambacho mtoto wa kayumba mwenye ufahamu mzuri atazidiwa ni ile english speaking
Ukitoa English hao watoto wa EM ni weupe kichwani

Shule zao zinakazana kumezesha watoto kingereza ambacho hata kukiandika hawakiwezi

Ukitaka ona maajabu fuatilia hawa watoto wa EM wakifika A-Level, wengi sana wanazungushaga zero
 
Sure nilikua nawaogopa wakati tunaingia school A level ila nikaja kuwa nawakimbiza, na ile top list karibu yote pale school tulikuwa tunaperfom watoto wa kayumba,
 
Sure nilikua nawaogopa wakati tunaingia school A level ila nikaja kuwa nawakimbiza, na ile top list karibu yote pale school tulikuwa tunaperfom watoto wa kayumba,
Wanamezeshwaga hao hawana kitu kichwani

Primary wanamezeshwa kingereza, O-Level wanamezeshwa mitihani

Mimi nakumbuka niliingia A-Level na Div. 2 ya mwisho ila nikatoka na 1....... Class tulikuwa na dogo kaja na Div 1 ya point 8 tokea private school ya bei mbaya, ila form 6 akatoka na 4

Dogo alikuwa mtabe kwenye debates tu ila kwenye masomo alikuwa kilaza wa hatari
 
Ukitoa English hao watoto wa EM ni weupe kichwani

Shule zao zinakazana kumezesha watoto kingereza ambacho hata kukiandika hawakiwezi

Ukitaka ona maajabu fuatilia hawa watoto wa EM wakifika A-Level, wengi sana wanazungushaga zero
Pamoja na kulazimisha ufaulu. Ili shule ifanye vizuri wapate wanafunzi wengi zaidi. Yaani wanafunzi kwao sio wanafunzi kwa ajili ya kuwaelimisha bali ni wateja kwa ajili ya kujineemesha
 
kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule

View attachment 3239070
Mahesabu tu ukiyapanga vizuri kila kitu kinakaa sawa (usisahau self discipline kwenye matumizi ya pesa). Nakushauri usikope ili ulipe ada. Ada ipangilie kutoka kwenye kipato (mshahara wako). Kwa mfano ada ya mwaka 1,800,000. Kila robo mwaka utatoa 450,000. Ina maana kila mwezi katika mshahara wako utatenga 150,000 na kubakiwa na 650,000/= Sasa hapo chekecha mahesabu yako. Kama una kamradi ka ice-cream unakoweza kusave 150 kila mwezi itakuwa poa sana. Mfungulie mkeo genge hapo nje litasaidia vingine. USIOGOPE. USIKOPE KULIPA ADA. Huu ni mfano unaweza jipanga uwezavyo.
 
Mimi anasoma ada 2.1M na mwingine 1.2M. Sio kila mtu amepanga nyumba, wengine ni wenye nyumba, tunachukua kodi, na mshahara no kama huo

Mkuu hujasoma haya maneno kabla hujajibu hoja

" kama huna njia nyingne za kujipatia pesa hata ujifunge mkanda hutakaa hujenge had watoto wamalize shule"
 
Kuna mdau take home ni laki 4.5 na Ana watoto 4 kitu cha ajabu watoto wote kidumu na mfagio aka kayumba yupo unique mnoooo na watoto wapo vzr shule, nilichoiga kwake ni jinsi alivyojipanga kwaajili ya watoto anasema hataki kulaumiwa anataka mtoto age ya 18 awe tayari na biashara. Maisha anayoishi kila mtu hakosi maswali ni mtu wakujituma kwenye kilimo,, sas swala la mtoto kumpeleka English medium ni uigaji wa maisha, ni vyema kila mwez ufanye Seving ya watoto wanapofika muda wa kujitambua waweze kujitetea kwa kilichopo maisha Kuna Leo na kesho!
 
Back
Top Bottom