Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Ni bora hata yule aliyekuwa hawaongezei mshahara anawachana ukweli.
 
Je ! Kilichoongezeka sio sawa na %23 ya mshahara wako??
 
Hiyo 20k mmepewa ya bandolier wazee

Ova
 
Watumishi this, watumishi that.. mnatupigia kelele bana

Si mchague uzi mmoja mkae hapo mlalamikiane mkichoka mnalala, j3 asubuhi kama kawaida..
Nani amekuforce kufungua hizi nyuzi? Hakuna zingine?
 
Watumishi this, watumishi that.. mnatupigia kelele bana

Si mchague uzi mmoja mkae hapo mlalamikiane mkichoka mnalala, j3 asubuhi kama kawaida..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]we mtoto wa Kambo tuache tumnange maza
 
20000 n kubwa jomba,,,
Kila mwezi n kuku 2, (jogoo na tetea 1) halafu miezi inayofata n tetea 2 kila mwezi. Baada ya miezi 11 utakuwa na kuku 40+ Ikifika Christmas uza kuku 30 kwa 12000 kila kuku.


Au Kama vipi bet tu ukiona
 
Ulikuwepo? Ilipandishwa kiasi gan?
Nilikuwepo na nilikuwa muajiriwa serikalini that time.Labda nilipindue swali, wewe ulikuwepo serikalini kipindi cha Jk hasa second term? Maana sikutegemea swali la muundo huu kwa mtumishi wa umma mwenye experience ya mika japo kumi serikalini.
 
 
Msongo wa mawazo umenizidi.

Nitaishi vipi na familia.

Kwa miaka 7 kufanya kazi bila nyongeza ya mshahara.

Nitaishije na mangi
Ndio wewe ulikuwa unashangilia kwamba mama atamwaga hela mtaani baada ya Magu kufariki?
 
Wale wanaosifia kila kitu wako wapi baada ya mishahara kutoka. Ccm kwenye nchi hii hawajawahi kua serious na maisha ya wananchi na wafanyakazi kwa ujumla. Ni wanafik. Ni waongo. Ni majizi. Na matapeli. Ni wachoyo na hawajali chochote kuhusu maisha ya watu. Wao wako busy na matumbo Yao na familia zao tu.

Na bahati mbaya walishatuona sisi hatuna haki kwenye nchi yetu na wanatuona sisi tunaongozwa ni mbumbumbu wote. Wanafanya wanalotaka.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…