Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

yani serikali kuongozwa na mwanamke ndo ipende hela kiasi hiki??? yani huyu mama balaa anawaza tozooo tuu
 
Utapewa kazi ya sensa utasahau haya
 
Acha kazi njoo tujiajiri uwe billionaire
 
kwa kifupi hata wafanyakazi woote wa umma waipigi kura chadema, namba yao ni ndogo sana, ni laki saba na ushee tu, hawana athari yeyote kwa ccm. kwahiyo, siku ccm ikiamua kuwachinjia baharini wanaweza wasizithamini kura zenu na hamtabadilisha chochote.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…