Mshahara umetoka, nyongeza ipo lakini lazima ucheke tu

Watumishi wa umma wanategemewa na wapiga kura wengi kujikimu kimaisha kama vile wazee, wanafunzi wa vyuo na familia kwa ujumla, kwahiyo wana uwezo wa kuwashawishi wategemezi wao kubadilisha mwelekeo wa kupiga kura.
wangekuwa na uwezo huo wangeshafanya zamani sana kwasababu wao ndio katika jamii wanaaminikwa kuwa ni kundi la wasomi wenye uelewa kuliko wengine. wangeshafanya chini chini kushawishi na kuleta mabadiliko.
 
Tanzania has no FUTURE... Endeleeni kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi.
 
Milmesema muda mrefu walimu kusoma na kuelewa hamjui
23.3 ni kwa kima Cha chini tu
 
Wao walishajiongezea posho za nje ya ofisi kwa 100% yaani kufikia 250,000/- kwa siku. Wao nyongeza sio muhimu watakula posho za nje ya ofisi na masaa ya ziada kazini !!
icho kitu nakisubiri kwa hamu mno. nitazilaaa. na kwajinsi ninavyosafiri.
 
you should have calculated it before, au hesabu ni ngumu
 
Watashoboka na nani na Serikali ndio inawapa maisha? Hiyo jeuri wataitoa wapi?
 
mkusanyane wote, muambizane msipigie kura sisiemu, afu muone kama sisiemu haitashinda. watu wenyewe hata laki nane hamfiki. cha kuwashauri, kuweni wapole, mpige kazi, pigeni na madili nje ya kazi msitegemee mshahara tu, siku nchi ikiwa na uchumi mzuri zaidi, mtaurahia maisha tena mkiwa seniors. kwasababu kwa hali ya kawaida, kama mama pesa hana, mnataka awaongezekee mshahara mkubwa kwa pesa ipi? ridhikeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…