Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Asiyejua ni typing error.Katikati ya nukta na mwalimu kuna nukta.Kapime macho.
Hatuandiki bila shaka= bila ya shaka.
Ni mwalimu wako wewe ndio sababu umemtetea.

Kwa hiyo na hiki ulichoandika bila kuweka hizo nafasi ni typing error? Mbona umeshindwa kurekebisha sasa?
Halafu ni wapi umeona nimemtetea mtu? Ukilaza wako unakusumbua, mtu mwenyewe unajiita "Tui". Ungemalizia Tui la kabisa.
 
Kawaida ukiona mtu anakimbilia matusi basi jua ana matatizo ya akili.
Tui ni jina kama mengine.
"Mbona umeshindwa kurekebisha sasa" sio swali kamilifu.Nitarekebisha vipi sasa?
 
Kawaida ukiona mtu anakimbilia matusi basi jua ana matatizo ya akili.
Tui ni jina kama mengine.
"Mbona umeshindwa kurekebisha sasa" sio swali kamilifu.Nitarekebisha vipi sasa?
Umeona tusi wapi?
Sema umetukanwa wapi na nani!!
Au kuambiwa "ukilaza" ndio tusi?
Kiufupi wewe ni kilaza tu!!
 
Huyu atakuwa siyo mwalimu, ni jitu la hovyo tu limeamua kuandika uzwazwa hapa jukwaani.
 
hahaha dah noma sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani si inatakiwa ijumaa ya mwisho wa mwezi mkuu???
 
Mwisho wa mwezi tayari ?
 
Mshahara wa dhambi ni mauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…