Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

kusema hujalipwaa ni jambo lisilofaaa kusemaa..??
 
kusema hujalipwaa ni jambo lisilofaaa kusemaa..??
Ni jambo linalofaa ila inategemea unaongea wapi na unamwambia nani kikubwa busara itumike kwani nape alivyosema wanaiba kura alikosea hakukosea ila ametamka sehemu isiyo sahihi zingatia sehemu sahihi na mtu unayemwambia.
 
Acha makasiriko kwenye maisha binafsi ya watu wengine. Humu kuna wengi tunasoma na kutania, na wapo walio serious, ila pia kuna wapenzi watazamaji kibao tu. Kuna mambo wala yasikupe shida kabisa
 
Huu upuuzi wa kuulizana mishahara humu jf kama umetoka au haujatoka ni sheria za wapi za utumishi mshahara kuchelewa siku mbili tayari mshajaza server humu na wengine wana miaka 10 kwenye ajira ila bado wanategemea mshahara nonsense kabisa.
Kila uzi sio lazima usome. Jukwaa huru ili acha stress, nenda jukwaa la ajira na tenda subiri interview za polis.
 
Dah mama hajaongeza chochote
Lucas Mwashambwa mwambie mama tunashukuru bwana.

Halafu anategemea Utendaji mzuri kwa kutojali maslahi.

Hakusoma somo ya Human Capital Development?

#YNWA
kaa kwa kutulia maana Mama ni Mwenye huruma na upendo kwa watanzania wote. Kwa hiyo acha kulia lia .bali andaa leso ya kufuta machozi ya furaha pale ambapo mama atanyoosha mkono wake na kukufikia hapohapo ulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…