Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kusema hujalipwaa ni jambo lisilofaaa kusemaa..??Shida watumishi wengi hamuendi kwenye mafunzo madhara yake ndio hayo sasa mnaropoka hata yasiyofaa kuongeleka mbele ya jamii kufanya mapenzi na mke wako ni halali kwa dini zote ila huwezi kufanya hadharani watu wakiwa wanaona hivyo busara ni muhimu kijana.
Hutajutia rafiki. 😀
😂 Kaka ngoja niongee na Mwanasheria wangu kwanza. 😂Na wewe una check number?
Ni jambo linalofaa ila inategemea unaongea wapi na unamwambia nani kikubwa busara itumike kwani nape alivyosema wanaiba kura alikosea hakukosea ila ametamka sehemu isiyo sahihi zingatia sehemu sahihi na mtu unayemwambia.kusema hujalipwaa ni jambo lisilofaaa kusemaa..??
Hongera😅😂 Kaka ngoja niongee na Mwanasheria wangu kwanza. 😂
Acha makasiriko kwenye maisha binafsi ya watu wengine. Humu kuna wengi tunasoma na kutania, na wapo walio serious, ila pia kuna wapenzi watazamaji kibao tu. Kuna mambo wala yasikupe shida kabisaShida watumishi wengi hamuendi kwenye mafunzo madhara yake ndio hayo sasa mnaropoka hata yasiyofaa kuongeleka mbele ya jamii kufanya mapenzi na mke wako ni halali kwa dini zote ila huwezi kufanya hadharani watu wakiwa wanaona hivyo busara ni muhimu kijana.
😂😂 mi muuza genge Kaka ila kuna Mtumishi namdai nataka nikipata ukweli tu nimzukie. Teh teh.Hongera😅
Kila uzi sio lazima usome. Jukwaa huru ili acha stress, nenda jukwaa la ajira na tenda subiri interview za polis.Huu upuuzi wa kuulizana mishahara humu jf kama umetoka au haujatoka ni sheria za wapi za utumishi mshahara kuchelewa siku mbili tayari mshajaza server humu na wengine wana miaka 10 kwenye ajira ila bado wanategemea mshahara nonsense kabisa.
Kote badoNMB ☑️
CRDB☑️
NBC ❎
kaa kwa kutulia maana Mama ni Mwenye huruma na upendo kwa watanzania wote. Kwa hiyo acha kulia lia .bali andaa leso ya kufuta machozi ya furaha pale ambapo mama atanyoosha mkono wake na kukufikia hapohapo ulipo.Dah mama hajaongeza chochote
Lucas Mwashambwa mwambie mama tunashukuru bwana.
Halafu anategemea Utendaji mzuri kwa kutojali maslahi.
Hakusoma somo ya Human Capital Development?
#YNWA
Unapata faida gani kudanganya?Tayari wazee NMB
NMB ☑️
CRDB☑️
NBC ❎
Sifaidiki na chochote nikikudanganya, kwangu mimi imeingiaUnapata faida gani kudanganya?
Hakuna mshahara unaoingia kwa mtu mmojaSifaidiki na chochote nikikudanganya, kwangu mimi imeingia
pole chief, ila wapo ambao tayarKote bado