Tetesi: Mshahara wa Machi vipi? Watoto wanahitajika kurudi toka shuleni kwa likizo ya dharura

Payroll huwa inatoka tarehe 15, Corona ilitangazwa tarehe 18. Hakuna uhusiano wowote wa Corona na salary la mwezi huu. Labda la mwezi ujao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtuwie radhi jamani, mwenye password ya payroll ameambukizwa corona, tunasubiri apone,hali yake sio nzuri sana,yuko in comma
 
Wajamaa wanavusha siku kimasihara tunarudije home. Wengine tulikuja na nauli ya kujia tu na kadi ya bank.
 
Pole, tambua kuwa nchi iko kwenye hali mbaya jipange mapema mkuu,yajayo ni magumu
Ndio naisubiria tarehe 26 mambo yakae mkao..... Wewe unayelinda na kuikumbuka hii tarehe ikifika tu nywele zinafumuka sasa kuna Corona tulia hakuna kutoka nimewekwa caranten na kadi ya Bank

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana mkuu

Pamoja Mkuu. Wametuzoesha vibaya kila Tar 24 mzigo unatema ila leo wanataka kuvunja mwiko.

Form 2 tulisoma hii kwenye Biology inaitwa Conditioned Reflex.
 
Wajamaa wanavusha siku kimasihara tunarudije home. Wengine tulikuja na nauli ya kujia tu na kadi ya bank.
Pole sana ndugu yangu, Mungu akufanyie wepesi na kukufungulia njia nyingine ... urudi home salama.
 
Kwa kweli watu hatufanani! Wakati wengine wakilalamikia kuchelewa kwa mshahara Wa Machi (wala siyo kuchelewa Bali kufikirika kuchelewa), siye wengine hata hatujui mshahara wa Februari utatoka lini, achilia mbali ule wa machi!
 
Tuko bize kukarabati karantini za wahanga wa korona , tutawatumia elfu kumi kumi kwa Mpesa ili mbangaze hapa na pale mshahara tutawaingizia mwezi ujao wa 4...


Tuwe wazarendo. C C M hoyeeeeeeeeeeeeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipaumbele ni SGR, Stieglers, Madaraja, Madege nk
Si mmeona jinsi yanavyozuia corona? Bila Dreamliner haki yaa Mungu corona ingepukutisha watu wengi sana. Viva Pombe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…