Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

Jinsia yako ni ipi mtoa mada

Kwanza tujuze? Tupate kufahamu
 
Kumbe inawezekana mashingingi aina ya Nissan yalinunuliwa na serikali kwa kuwakopesha ma Afisa wake ndio yameifanya serikali kushindwa kulipa mishahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…