The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Tena wengi wao amewateka kiakili, mara awaletee story sijui eti alikua anafanya kazi Mochwari! Anakua anatafuta zile trick za kuwabrainwash wafuasi wake! basi wenyewe wanamuona kama Nabii vile! Hahahaaaaa!Mshana ni jamaa mmoja mwongo mwongo sana ila mwenye kundi kubwa la wajinga wanaomwamini. Ni kama CCM inavyotumia mtaji wa uwepo wa wajinga wengi.ndivyo na mshana naye anafaidika nao.
Mmh huo ni uchawi ule wa kawaida lakini ule next level ni habari nyingine kabisa...unapiga bila kizuizi cha imani na kuaminiUchawi ni Imani yako mwenyewe. Ukiamini kurogwa inakuwa hivyo ila ukiamini kuwa uchawi haupo na ni Myths tu inakuwa hivyo hivyo na huwezi kurogwa
Maji ya mvua !!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa
Ila unapenda sana mambo ya uchawi.Hapana mimi sio mchawi
Ni kweli kabisa siwezi kulikana hiloIla unapenda sana mambo ya uchawi.
Team Mshana Jr tujuane, Mshana tano tenaIpo hivi wachawi hawapatan baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini
Maji ya mvua !!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe
Nyie wapinzani mnaponda kila kitu Mshana Jr mitano tena ili aongoze thread za kichawiIpo hivi wachawi hawapatan baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini
Maji ya mvua !!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa
True, tena Mshamba Mshamba tuMshana ni jamaa mmoja mwongo mwongo sana ila mwenye kundi kubwa la wajinga wanaomwamini. Ni kama CCM inavyotumia mtaji wa uwepo wa wajinga wengi.ndivyo na mshana naye anafaidika nao.
Mm pia mgangaUmekuja kumchokoza mganga mkuu
True na ukimwonq mchaw usimuogope huwa wanatabia wakijua umewaona wanaanza kukutisha ww ucogope chuma fimbo anza kukichapa kivuli chake utaona anasikia maumivu yy mwenyewe ni ngumu kumshika labda nikupe dawa maalum ww piga kivul chake kamata kivuliUchawi una nguvu kwa anayeuogopa tu
Hili weng hawalijui uchaw ni km vile shule kuna primary.secomdary.certifacate.diploma.degree.masters .phd & professor uchaw ambao umefika degree ni ngumu kuuzuia uamin usiamin otherwise ni MUNGU ndio anaweza kukuepusha so usiache KUSALIMmh huo ni uchawi ule wa kawaida lakini ule next level ni habari nyingine kabisa...unapiga bila kizuizi cha imani na kuamini
Ok tusubishane ebu niambie ww mvua analeta nan ?Kwenye hiyo kauli yako upo na nani mnaojua hivyo? Maana mm ndio nimejua kupitia kwako hapa, nilikuwa naelewa tofauti kabisa.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Inamaana hujui process zinazopelekea formation ya mvua? Mvua hailetwi na mtu.Ok tusubishane ebu niambie ww mvua analeta nan ?