Mshana Jr acha uongo wachawi hawaivi na aina ya maji na sio kila maji

Mshana Jr acha uongo wachawi hawaivi na aina ya maji na sio kila maji

Mshana ni jamaa mmoja mwongo mwongo sana ila mwenye kundi kubwa la wajinga wanaomwamini. Ni kama CCM inavyotumia mtaji wa uwepo wa wajinga wengi.ndivyo na mshana naye anafaidika nao.
Tena wengi wao amewateka kiakili, mara awaletee story sijui eti alikua anafanya kazi Mochwari! Anakua anatafuta zile trick za kuwabrainwash wafuasi wake! basi wenyewe wanamuona kama Nabii vile! Hahahaaaaa!
 
Uchawi ni Imani yako mwenyewe. Ukiamini kurogwa inakuwa hivyo ila ukiamini kuwa uchawi haupo na ni Myths tu inakuwa hivyo hivyo na huwezi kurogwa
Mmh huo ni uchawi ule wa kawaida lakini ule next level ni habari nyingine kabisa...unapiga bila kizuizi cha imani na kuamini
 
Ipo hivi wachawi hawapatan baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini

Maji ya mvua !!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe
Team Mshana Jr tujuane, Mshana tano tena
 
Uchawi una nguvu kwa anayeuogopa tu
True na ukimwonq mchaw usimuogope huwa wanatabia wakijua umewaona wanaanza kukutisha ww ucogope chuma fimbo anza kukichapa kivuli chake utaona anasikia maumivu yy mwenyewe ni ngumu kumshika labda nikupe dawa maalum ww piga kivul chake kamata kivuli
 
Mmh huo ni uchawi ule wa kawaida lakini ule next level ni habari nyingine kabisa...unapiga bila kizuizi cha imani na kuamini
Hili weng hawalijui uchaw ni km vile shule kuna primary.secomdary.certifacate.diploma.degree.masters .phd & professor uchaw ambao umefika degree ni ngumu kuuzuia uamin usiamin otherwise ni MUNGU ndio anaweza kukuepusha so usiache KUSALI
 
Back
Top Bottom