Heshima kubwa kwako dada Jemima Mrembo ... Kuna mambo matatu binadamu hufurahi akiyapataJamiiForums nzima wewe ndio uko very negative person. UMUGHAKA ulimchukia bila sababu, kuna dogo mwingine ana hadithi ya kichawi, naye unamchukia unnecessarily. Hebu tuambie tatizo lako li nasababishwa na nini?
[emoji817][emoji818][emoji1548][emoji1545]Verified!
Mwamba unatuwakilisha vema wanaume wa jf
Nipo hapa ostaadhat, mzima?
Mzima umekuwa adimuNipo hapa ostaadhat, mzima?
HII NI ID MPYA YA MSHANA JR🤣🤣🤣🤣🤣Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.
Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.
Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.
Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.
Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.
Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.
Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.
Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Unachuruzika tu yaanTayari utelezi ushaanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]mvua hii ina balaa.[emoji3][emoji3]Una nn lakin[emoji23][emoji23]
Nipo sana tu, sema kwa swaum hii kweli lazima niadimike😁😁Mzima umekuwa adimu
😂😂Swaumu kaliNipo sana tu, sema kwa swaum hii kweli lazima niadimike😁😁
Heshima ni kitu cha bure.. Usitoe tuhuma usiyoweza kuthibitisha asante[emoji1545]
Huwezi utani mzeee🤣🤣🤣 umekachi feeling kwa mimi kumtania Jemima Mrembo?????..Be easy homie.Heshima ni kitu cha bure.. Usitoe tuhuma usiyoweza kuthibitisha asante[emoji1545]
Eeeh ila tunapambana nayo huku tukipunguza madhambi yetu. Nitakutafuta nikusalimie vizuri🤣🤣😂😂Swaumu kali
SawaEeeh ila tunapambana nayo huku tukipunguza madhambi yetu. Nitakutafuta nikusalimie vizuri🤣🤣