MSHANGAO: Hadi Uswizi watu wanapanga foleni ndefu kupokea chakula cha bure Corona imeleta maajabu

Kwani mswisi asilia ni malaika kwamba haguswi na msuko suko wa kiuchumi?
 
A

Acha kudanganya watu mkuu, kuna kipindi pesa inakosa thamani kwa sababu vitu vinakua hazipatikani hiyo hata China ilitokea supermarket watu walikuwa wanapanga mstari wanauziwa vitu kwa kugawana. Mchele ulikua sawa na almasi ulipotea kabisa

Sasa unafananisha China na Uswisi? Uswisi ni nchi tajiri Duniani, per capital income ya Uswisi > 80 000 USD vs China < 15 000, TZ yetu < 3 000 USD, Uswisi iko mbele ya China, na China haitokaa ifikie utajiri wa Uswisi.

Hivyo usilinganishe visivyolingana!
 
Utumwa mwingine huu, kwahiyo wewe umeenda hapo ukawasachi vitambulisho vyao hao wote kwenye foleni na ukajua sio waswisi asilia? Umetumia uchawi gani?


Siyo utumwa, ni ukweli, Uswisi ni nchi tajiri Duniani kwa kipato, na mtu asiye na kazi analipwa fedha ambayo inamtosha kuishi hivyo hahitaji chakula cha bure, ...
 
Duuh.. mkuu taratibu basi..

Unanitisha asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo utumwa, ni ukweli, Uswisi ni nchi tajiri Duniani kwa kipato, na mtu asiye na kazi analipwa fedha ambayo inamtosha kuishi hivyo hahitaji chakula cha bure, ...
Swali lilikuwa ni umejuaje hao sio waswisi?
 
Wenzetu wapo transparent na habari za corona.
 
Tofautisha utajiri wa pesa na utajiri wa chakula. Kuna muda pesa inakosa thamani kwasababu vitu vinakua havipatikani kwasababu ya lockdown, watu hawazalishi vyakula.
 
Yupo mama mmoja ofc yetu imepanga mjengo wake Bunju,huyo mama anafanya kazi za ndani Uswis ..na huwa akija anatuambia kabisa," anachofanya...ila akirudi home huku taita.Waswis OG wanamaisha standard sanaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana sio wameishiwa chakula but serikali yao imesema inatoa tu kwa watu wenye uhitaji sio kihivyo hii habari nimeiona sehemu nyingi sio hari mbaya kama unavyowaza wewe
 
US watu wanapanga foleni ya chakula cha bure.
Wazungu kabisa wa US na ninaona live Kila siku.
 
Ndo mjue lock down sio mchezo.
Watu HAWAFANYI kazi watapata wapi hela.?.
Na afadhari hyo serikali inawajali hao raia.
Hivi unadhani magufuli atakuwa anagawa chakula akitangaza lock down?.
museven kajitahidi kuwapa wananchi wake kilo 6 za unga na kilo tatu za maharage.
Zimepita karibia wiki 3 sasa hivi kimyaaaa hagawi tena.
Hata mimi nilipoiona hii, nimeshangaa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…