Parabora
JF-Expert Member
- Jul 6, 2019
- 1,504
- 2,203
Wamefunga nini?Wamefunga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamefunga nini?Wamefunga.
Ndio nikasema, tuishie hapo yaanPicha inajieleza. Kusoma hujui hata kutafasiri picha jamani ?
Kwani mswisi asilia ni malaika kwamba haguswi na msuko suko wa kiuchumi?Hakuna Mswisi asilia hata mmoja kwenye hiyo foleni, Mswisi hawezi kupanga foleni ya chakula cha bure leo hii, itachukuwa miaka 20-50 mfululizo ya ,,lockdown” Mswisi kufikia hali hiyo, na Mswisi akifikia hapo ujue Duniani kwingine watakuwa wameanza kula watu, ...
A
Acha kudanganya watu mkuu, kuna kipindi pesa inakosa thamani kwa sababu vitu vinakua hazipatikani hiyo hata China ilitokea supermarket watu walikuwa wanapanga mstari wanauziwa vitu kwa kugawana. Mchele ulikua sawa na almasi ulipotea kabisa
Utumwa mwingine huu, kwahiyo wewe umeenda hapo ukawasachi vitambulisho vyao hao wote kwenye foleni na ukajua sio waswisi asilia? Umetumia uchawi gani?
Hizi data zako tunaomba source tafadhali
Duuh.. mkuu taratibu basi..Hakuna Mswisi asilia hata mmoja kwenye hiyo foleni, Mswisi hawezi kupanga foleni ya chakula cha bure leo hii, itachukuwa miaka 20-50 mfululizo ya ,,lockdown” Mswisi kufikia hali hiyo, na Mswisi akifikia hapo ujue Duniani kwingine watakuwa wameanza kula watu, ...
Mbona kama nimemuona rafiki yangu Parabora
Swali lilikuwa ni umejuaje hao sio waswisi?Siyo utumwa, ni ukweli, Uswisi ni nchi tajiri Duniani kwa kipato, na mtu asiye na kazi analipwa fedha ambayo inamtosha kuishi hivyo hahitaji chakula cha bure, ...
Hizo asilimia ulizotoaUnaomba chanzo cha data gani? Kwamba Uswisi ni nchi tajiri Duniani au?
Tofautisha utajiri wa pesa na utajiri wa chakula. Kuna muda pesa inakosa thamani kwasababu vitu vinakua havipatikani kwasababu ya lockdown, watu hawazalishi vyakula.Sasa unafananisha China na Uswisi? Uswisi ni nchi tajiri Duniani, per capital income ya Uswisi > 80 000 USD vs China < 15 000, TZ yetu < 3 000 USD, Uswisi iko mbele ya China, na China haitokaa ifikie utajiri wa Uswisi.
Hivyo usilinganishe visivyolingana!
Sasa hivi mmehamia kwenye sukariTanzania wachawi wameyeyusha sukari inapatikana Gamboshi peke yake
Wapi huko!?Baadhi ya sehemu si haba huku inauzwa 2900/= bei elekezi
Yupo mama mmoja ofc yetu imepanga mjengo wake Bunju,huyo mama anafanya kazi za ndani Uswis ..na huwa akija anatuambia kabisa," anachofanya...ila akirudi home huku taita.Waswis OG wanamaisha standard sanaaa.Mkuu haiwezekani nadhani serikali imewahurumia wageni ambao wengi wanafanya kazi za part time ndio maana imetangaza Kama unashida na chakula au huna waende wachukue bure kila siku wanataka kuanzia next week iwe kila mtaa kwenye mall maalum ili watu wachukulie maeneo ya karibu na walipo
Hapana sio wameishiwa chakula but serikali yao imesema inatoa tu kwa watu wenye uhitaji sio kihivyo hii habari nimeiona sehemu nyingi sio hari mbaya kama unavyowaza weweMzuka wanajamvi
Kamwe usingewaza tukio kama hili kutokea Uswizi. Korona (pathetic virus) imeleta shida kwa kipindi kifupi sana. View attachment 1446109
Yani watu Uswizi wanapanga foleni ndefu tena ya zaidi kilometre moja kupewa chakula cha bure tena wanawahi kupanga mstari kwaanzia saa kumi na moja asubuhi.
View attachment 1446109View attachment 1446113
Kwa sasa hivi Uswizi imethibitisha watu 30, 305 wana maambukizi ya korona na vifo ni 1800.View attachment 1446121
Uswizi ni nchi inayoongoza kwa maisha bora na malipo mazuri ulaya na duniani hata kwa wabeba boksi.
View attachment 1446118
Hata kwenye kati ya jiji Tajiri duniani Geneva hali ya uchumi imedorora na imeleta hali ngumu ya kiuchumi kwa watu waliokuwa wanafanya kazi kwenye housekeeping, hoteli, migahawa, kilimo na ujenzi
US watu wanapanga foleni ya chakula cha bure.Hakuna Mswisi asilia hata mmoja kwenye hiyo foleni, Mswisi hawezi kupanga foleni ya chakula cha bure leo hii, itachukuwa miaka 20-50 mfululizo ya ,,lockdown” Mswisi kufikia hali hiyo, na Mswisi akifikia hapo ujue Duniani kwingine watakuwa wameanza kula watu, ...
Hata mimi nilipoiona hii, nimeshangaa sana.