Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Labda hawa wenzetu wanawakuta akina Mo na watoto wa SSB kwemye migahawa ya KFC.
Ukifika utajikuta wewe ndo tajir 😄😄 pale utakapojilipia mwenyeweNaomba tajiri mmoja ajitokeze anipeleke KFC
Ungetaja tu nchi zote ulizowahi kuishi ili uwe huru.Kwani ni sehemu ya maana sana mkuu mimi naishi Arusha baada ya kutoka Hong Kong na USA kubeba box huko huku ni kama nipo Unga limited tu..
KFC kkoo nje kuna watu wanauza matunda na mwengine anauza kahawa hizi za 100, ndani kinafasi kidogo watu wanapanga foleni, ukipata chakula uondoke ama ukakae kwenye meza, shukuru Mungu ukipata kiti otherwise vile viti.kama vigoda na kimeza chembamba kinakuhusu.Mwenzio hao ndio anaita matajiri.
Wabongo bhana ndio maana mnakua wachawi mkizeeka kusikia SA roho inakuuma balaa...Ungetaja tu nchi zote ulizowahi kuishi ili uwe huru.
KFC sio hotel, ni fast food restaurant.KFC kkoo nje kuna watu wanauza matunda na mwengine anauza kahawa hizi za 100, ndani kinafasi kidogo watu wanapanga foleni, ukipata chakula uondoke ama ukakae kwenye meza, shukuru Mungu ukipata kiti otherwise vile viti.kama vigoda na kimeza chembamba kinakuhusu.
Mtoa mada hii ndio KFC kama hujawahi fika
View attachment 3559405
Kuna maelfu ya Hotel Tanzania hii nzuri kuliko KFC.
Mutualism-unatoa unapewa.Naomba tajiri mmoja ajitokeze anipeleke KFC
Tajiri anapaswa kuwa ni mtu wa aina gani kiuhalisia?Unajua hapa Tanzania MTU akiona mdada mwanachuo aliyejiremba. Mawigi, amevaa vizuri. Kapokea bumu lake akamuona mgahawani au anatumia iPhone 17 wanamuita tajiri.
Au wakiona wasanii vile wanavyoishi wanaita matajiri.
Kiafrika mavazi huficha umaskini. Jambo ambalo ni uongo mkubwa.
Ndio maana ukiweza kuvaa vizuri na Kula KFC wanakuona tajiri
Hujaelewa hoja. KFC na kina McDonald's huko China ni kwa ajili ya maskini. Kama ukiwa China nenda kwenye mgahawa wanapouza vyakula vya kiafrika na huko KFC uone tofauti kwenye bei.Tatizo mnaokoteza vitu na kuandika tu.
China kuna KFC 12,000
Dunia nzima zipo KFC 32,000
Ziko katika nchi 145
kwa Mwaka mapato ni Tril 81
Faida ni Tril 4
Ajira 800,000
Je China ni masikini?
Middle income Tanzania ni watu wenye wastani wa kipato kiasi gani?Labda useme middle income ila Matajiri wa Tanzania na KFC wapi na wapi? Hata pa kukaa hakuna pazuri, kwengine hata parking hakuna.
Wateja wengi wa KFC hata Tanzania ni watu wa kawaida, MTU anayeweza Ku Afford meal ya 10,000 mpaka 20,000.
instagramizeSlay queens na mabraza duu wa Africa wanakwambia you cant instragamize cassava on socials
Tanzania bado kuna neema fulani ya Mungu ndo maana watu hawaendi sana supermarket kwa sababu vitu vipo mtaani kwa bei ya kutupa. Vyakula Tanzania ni bei rahisi sana. Tena ni vyakula vya maana. Wenzetu hapo Nairobi ikifika mida ya Lunch karibu mji mzima unaenda kula chips kavu na wengine mikate. Migahawa ya chips kavu ni mingi sana Nairobi na ndo kimbilio la walalahoi. Kinyume na hapo wataenda kuagiza Githeri/Makande. Huku Tanzania kwa Tsh 3000/= taslim bila makato unapata wali nyama safi iliyotulia.Unajua hapa Tanzania MTU akiona mdada mwanachuo aliyejiremba. Mawigi, amevaa vizuri. Kapokea bumu lake akamuona mgahawani au anatumia iPhone 17 wanamuita tajiri.
Au wakiona wasanii vile wanavyoishi wanaita matajiri.
Kiafrika mavazi huficha umaskini. Jambo ambalo ni uongo mkubwa.
Ndio maana ukiweza kuvaa vizuri na Kula KFC wanakuona tajiri
Kuanzia laki 8 Hadi milioni 2 na nusu kwa mwezi on average.Middle income Tanzania ni watu wenye wastani wa kipato kiasi gani?
Sio neema ya mungu bali population ni ndogo na uzalishaji ni mkubwa kiasi kwa sababu eneo la nchi ni kubwa na nchi yote watu wanaweza kulima, kufuga na kuvua Samaki hata wakifanya kazi kivivu na kizembe.Tanzania bado kuna neema fulani ya Mungu ndo maana watu hawaendi sana supermarket kwa sababu vitu vipo mtaani kwa bei ya kutupa. Vyakula Tanzania ni bei rahisi sana. Tena ni vyakula vya maana. Wenzetu hapo Nairobi ikifika mida ya Lunch karibu mji mzima unaenda kula chips kavu na wengine mikate. Migahawa ya chips kavu ni mingi sana Nairobi na ndo kimbilio la walalahoi. Kinyume na hapo wataenda kuagiza Githeri/Makande. Huku Tanzania kwa Tsh 3000/= taslim bila makato unapata wali nyama safi iliyotulia.
99% yes,Kwa hiyo walaji wa vyakula vya KFC ni watu wenye kipato chini ya Tsh 2.5M?
Kama unapata milioni 5 na mke wako ni mama wa nyumbani wewe bado sio Tajiri ni middle class, hio ni per capita. Kama nyumbani mpo 7 piga 7 x 2.5 ni milioni 17 na nusu kama huipati basi still wewe sio Tajiri.Sio kweli, familia za wafanyabiashara wanaopata milioni tano kwa mwezi nyingi tu wanakula KFC