Mshangao; KFC ni kwa ajili ya masikini nchi zilizoendelea ila Africa ni kwa ajili ya matajiri!


Upo sahihi kabisa

Vyakula vya Tanzania ukila mlo wa elfu 5 sio ajabu ulaya ukauzwa mpaka laki moja kwa sahani.
 
Naomba niulize wale kuku wanawekwa nn maake hiyo kitu sijawahi kula na sitarajiii coz ukiingia KFC kuna nulia design ya ajabu ajabu...

Binafsi nimeuliza nisije shambuliwa na KFC clients
Kwanza wanakinaisha balaa. Ukila mmoja tu hamu inaisha.
 
the same question, why the poor one on america, if came in africa is a rich?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…