Na ukutani namuona Mzee mwenyewe picha kila Kona za miaka 1896๐KFC kkoo nje kuna watu wanauza matunda na mwengine anauza kahawa hizi za 100, ndani kinafasi kidogo watu wanapanga foleni, ukipata chakula uondoke ama ukakae kwenye meza, shukuru Mungu ukipata kiti otherwise vile viti.kama vigoda na kimeza chembamba kinakuhusu.
Mtoa mada hii ndio KFC kama hujawahi fika
View attachment 3559405
Kuna maelfu ya Hotel Tanzania hii nzuri kuliko KFC.
Keep eating.Huko nyumbani mnapikia Sebuleni??
Package inaanzia elfu 20 maskin yupi anamudu kwa mlo mmoja
Tajiri gani mwehu anakula KFC? Huko ni kwa vijana malimbukeni tu. Yaani tajiri aache kula kuku original Golden Tulip akale broiler KFC? Serious kabisa?Remy kapiga kwenye mshono๐
junk food mama ntilieKFC sio hotel, ni fast food restaurant.
Watanzania maisha yao ni hayo kila kukicha zikijaa shoprite za kutosha utawasikia ni maduka ya masikini yasipokuwepo ni ya matajiri..Bei ya KFC Bongo maskini wataweza? BTW hata Africa wateja wengi wa KFC ni middle class ambao hata nchi zilizoendelea ni walaji wazuri wa KFC McDonalds etc
Wageni wanakula kuku wa kufugwa mkuu hawa kuku wa kienyeji tunakula sisi hata hapo Zambia tu kuku wa kienyeji unaweza kupewa kwa bei chee ila sio hao kuku wao...Tajiri gani mwehu anakula KFC? Huko ni kwa vijana malimbukeni tu. Yaani tajiri aache kula kuku original Golden Tulip akale broiler KFC? Serious kabisa?
Acha uongo maskini wa Tanzania hawana mda hata na KFCUliambiwa hao wanaokula KFC wanakula Kila Siku?
Maskini wakiweka pesa kwa wiki wakasema waende hapo KFC wakala chakula cha ,40k utasema sio maskini kisa wamekula chakula cha 40k?
Jamaa huwaga anaubishi wa kitoto sana na kila mara anataka yeye ashindeUnanipotezea tu muda hapa, huna sera.
๐๐๐Africa tajiri lazima unenepe uwe na mtumbo mkubwa pamoja na mashavu yaliyovimbiana, wenyewe wanasema shavu dodo๐
ChaiWadau wahoji na kushanga jinsi migahawa ya KFC imekuwa ni kwa ajili ya wenye kipato au matajiri nchi nyingi za Africa wakati nchi zilizoendea huko duniani kuanzia Marekani, Canada, Ulaya, Japan n.k KFC ni kwa ajili ya masikini au watu wenye kipato cha chini!
Wadada wa mjini wanavyopenda kuku wa KFC sijui kama wataelewa hili suala.
View attachment 3559358
Acha uongo maskini wa Tanzania hawana mda hata na KFC
Mtu anaingiza elfu tano au kumi kwa siku umuuzie kuku elfu 20 ilihali anaweza nunua kwa elfu 1500
Uliza randomly maeneo ya uswahilini kama hata wanahabari na kfc
Watu wanashindia miguu ya kuku, vichwa na dagaa Michele aende akatoe elfu 20 au 30 unajua ni siku ngapi anatumia kuipata
Wanaokula KFC kwa Tanzania ni middle class na sio maskini
Yaani unamuweka mtu wa 2m na 20m kundi moja? Hebu kuwa serious basi.Elfu tano ni Fukara.
Maskini kipato chake ni Kati ya 200k - 1M.
Middle class ni 2M - 20M monthly
Wewe kama kipato chako kipo below 1M bado upo kundi la Maskini. Ingawaje kuna Maskini aliyechangamka