Mshangao; KFC ni kwa ajili ya masikini nchi zilizoendelea ila Africa ni kwa ajili ya matajiri!

Tajiri gani mwehu anakula KFC? Huko ni kwa vijana malimbukeni tu. Yaani tajiri aache kula kuku original Golden Tulip akale broiler KFC? Serious kabisa?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unatumia nguvu Kubwa tujue upo south Africa 😁 ndio mara ya kwanza nini?
 
Unatumia nguvu Kubwa tujue upo south Africa 😁 ndio mara ya kwanza nini?
Nina mwaka wa 27 hapa baada ya kuzunguka kubeba boxi huko Duniani mimi naona hapa ni kama Unga limited tu sema wachimba chumvi mnastuka kusikia SA...
 
Unatumia nguvu Kubwa tujue upo south Africa 😁 ndio mara ya kwanza nini?
Nimetumia passport zaidi ya 10 za kitanzania mbili za SA zote zimejaa hili jambo unaweza kuunga koo zenu sita asipatikane hata mtu mmoja kujaza passport tano tu kwa ajili ya safari..
 
hii hoja haipinduki, kfc, pizza hati, baga kingi na majirani zao wengine
 
Elfu tano ni Fukara.
Maskini kipato chake ni Kati ya 200k - 1M.

Middle class ni 2M - 20M monthly

Wewe kama kipato chako kipo below 1M bado upo kundi la Maskini. Ingawaje kuna Maskini aliyechangamka
Unadhani kuniita maskin umenikeraaa 🀣🀣🀣🀣 we niite maskin labda ndo furaha yako ilipo
Hizo hatua nimeshavuka za kuwashambulia watu personal mfano mimi nikutuhumu wewe ni maskini napata faida gani sababu hata sikujui

Hata serikalini wanaolipwa zaidi ya million ni wachache na hii comment imeonyesha jinsi ulivyokuwa mtoto eti maskin anaingiza million 1

Ni watanzania wangapi wanaingiza sh million 20 kwa mwezi hawafiki hata efu moja alafu wewe unawaita middle class hiki ni kituko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…