Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

Jiandae nawewe sasa ukaishi kwa shemeji yako asubuhi uwe unasafisha gari.
 
Reactions: amu
BARAKOA mkubwa wee!!!!
 
Reactions: amu
Kujua kuwa dada anaenda kutinduliwa na mshkaji wangu, noma sana ila kwangu peace tu coz mwisho wa siku sitamuoa sista.

Nimefurahishwa na majibu ya wadau humu, dah!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa inauma kumuona dada anawolewa eehhh...

Wapwa wana maneno saaana jamani
 
We ulitakaje? Umuoe we mwenyewe au apewe mimba kitaa Na mabaharia ?
Huoni km Dada yako Na rafiki yako wameamua jambo jema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: amu
Kama baba na mama wamekubali mtoto wao aolewe na rafiki yako Dr

Wewe ni nani unakataa na kushangaa

Acha dada yako aolewe na rafiki yako awe shemeji yako



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: amu
Umri wako niufahamu please!
 
Reactions: amu
Mimi nadhani Wazazi wako hawajakubali kisa huyo jamaa ni Dr Kama unavyosema, bali pengine wamekubali kwasababu wamependana.

Acha uboya wa kumuonea wivu dadaako nna imani ungekuwa umechumbiwa wew ungeona sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: amu
We ni mpumbavu sana, kwanza umeanza kwa kumdharau mshikaji eti kwao walikuwa maskin, kwahyo ulijua wakiwa maskin ndo mshikaji atakufa maskin, acha afaidi utamu wa dada yako,

Kinachokuuma siyo mshikaji kuoa dadaako bali mshikaji kuwa doctor, acha wivu boya wewe utakosa wa kukuzika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini sio fair japo mnatetea,hapo ni kama vile kamuoa dada yake.Mi mwenyewe ningemaindi mtu mmecheza wote tangu utotoni huko mpaka mmekua kama ndugu unaoaje dada mtu.
 
Iko powa kabisa,tena kwa wazazi ndio wanapata faraja sana kutokana na kuelekea umri tegemezi huku wakiwa na mkwe/mtoto wao waliyemlea.Na huyo anawezakuwa mzuri kwa wazazi wako kuliko wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…