Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

Lakini sio fair japo mnatetea,hapo ni kama vile kamuoa dada yake.Mi mwenyewe ningemaindi mtu mmecheza wote tangu utotoni huko mpaka mmekua kama ndugu unaoaje dada mtu.
Hapo ndipo undugu umeimarishwa,rafiki anaweza kukukimbia muda wowote
 
Jamaa kamheshimu kwa kumwoa dadake kwa harusi eti analalamika
Mbona haina shida mkuu.Huyo jamaa ni ndugu yako sasa sio rafiki tu.

Vipi kama dadako angepigwa mimba na majamaa hapo mtaani afu wangemtelekeza?Kipi bora?
[emoji116]huu ushauri umemshauri sawa na akili yake ya kijani
Huyo usiongee naye maisha yako yote.
Pumbavu zake
Jamaa mjinga kweli
acha wivu wewe, basi muoe wewe huyo dada yako maana unaona kama jamaa ana faidi
Anashangaza sana
dah! watu wanaoana ndugu sembuse na rafiki? hebu acha wivu wakijinga yaani unamuonea wivu dada ako
Inauma kama unaolewa wewe vile.kukafanyia dharau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha hizo jamaa ndo ameunga undugu rasmi,VP kama angepigwa mimba ukaachiwa mzigo?wewe nenda kiroho safi na zawadi usisahau!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ya leo nani anapapalika na eti udokta?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kusoma post ya Kwanza na kupitia uzi kusoma "comments za mleta mada anavyojibu watu humu,sasa nimeelewa moja kwa moja kuwa mleta mada alikuwa analiwa na huyo anaemuolea dada'ke.

Asiwaumize kichwa, huyu mleta mada ni wa kumuombea tu aachane na ushoga.
 
Unaelewa maana ya rafiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda acha ujinga bwana. Jamaa sii anaoa.
Tena jamaa ana akili kweli kaoa kwenye familia inayojali utu.
Jamaa kajiongeza kweli kweli.
 
Ukiskia kikulacho kiungoni mwako ndo hii sasa. Usiende kabisa kwenye hiyo harusi

Sent From Galaxy S9
Kumbe na wewe ni wale wale? Ndiyo maana unajiita hivyo. Khaa! Mpo wengi sana, tutaacha kugigwa na majanga ya corona? Laana hizo wacheni.
 
Kumbe na wewe ni wale wale? Ndiyo maana unajiita hivyo. Khaa! Mpo wengi sana, tutaacha kugigwa na majanga ya corona? Laana hizo wacheni.
Bibi kigagula jiheshimu tafadhali. Au wewe ndo unaeolewa?

Sent From Galaxy S9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…