Mshituko: Rafiki yangu tuliyeshibana unamuoaje Dada yangu?

ulitaka jamaa akuoe wewe??
 
Kwani we ulitakaje? au unampango wa kumuoa Dada yako? Mi nikajua ndio fursa iyo umepata shem mlie shibana na ndio maana wazee walibariki na Dada yako mpaka kumvulia chupi Muuni ni Kweli wanapendana sasa We mwanaume tena jitu zima unakuja apa unapanic panic tu kizembe bila sababu ya msingi..sema wakshua mnazinguaga sana vitu vidogo vidogo mnapanick kinyama Basi Muoe wewe
 

Kati ya watu wapumbavu wewe Upo front seat! Baba na Mama yako wana hekima sana, unataka umuoe wewe? Bwege kabisa wewe!
 
Una uhakika gani kama ni dada yako?, je una uchungu nae kuliko wazazi wake. Hoja zako hazina mashiko, pita hivi
 
Usiwe kama pimbi maana huyo rafiki yako ameenda mbali zaidi kwa kuunda udugu kutokana na kumuoa dada yako.
Hivi ulitaka dada yako aolewe na nani?
 
Hana kosa huyo rafiki yako ameshakuwa Shemeji yako inabidi ukubaliane na hali maisha yaendelee.
 
Anaoa hivyo hivyo kama wewe unavyooa dada za wenzio mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…