Tofalizito
JF-Expert Member
- Mar 28, 2020
- 343
- 1,267
Kwa wivu huu.wa jamaa nahisi kama sio.yeye alikuwa anamkanyaga dadake basi yeye alikuwa anakanyangwa na jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndiyo Dada yako?Kwa wivu huu.wa jamaa nahisi kama sio.yeye alikuwa anamkanyaga dadake basi yeye alikuwa anakanyangwa na jamaaView attachment 1424279
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo usiongee naye maisha yako yote.
Pumbavu zake
Huyo usiongee naye maisha yako yote.
Pumbavu zake
ulitaka jamaa akuoe wewe??Hili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja nikamkaribisha nyumbani kwetu akawa kama mtoto wa familia yetu kabisa.
Baba yangu alikuwa anamlipia ada, nguo za shule kuanzia form 3 mpaka form 4 amenunuliwa na baba yangu cha ajabu baada ya kumaliza chuo na kupata kazi amemuoa na kumtundika mimba Dada yangu wa mwisho kweli hii ni sawa!
Niende kwenye harusi yao au nisiende? Nimsalimie au nisimsalimie?
Cha ajabu baba yangu na mama yangu wamekubali umuoe Dada eti kisa wewe ni Dr ataishi maisha mazuri!
Kwa hili rafiki yangu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja nikamkaribisha nyumbani kwetu akawa kama mtoto wa familia yetu kabisa.

Mkuu unatakaje???, kamuoe wewe, unatumalizia bandoUnajua kutofautisha kati ya ndugu na rafiki?
Rafiki yako mnaweza kuambiana jinsi ya kumfikisha mwanamke kileleni, shemeji yako mtajadili hayo?
Huyo siyo rafiki tena ni shemeji
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika gani kama ni dada yako?, je una uchungu nae kuliko wazazi wake. Hoja zako hazina mashiko, pita hiviHili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja nikamkaribisha nyumbani kwetu akawa kama mtoto wa familia yetu kabisa.
Baba yangu alikuwa anamlipia ada, nguo za shule kuanzia form 3 mpaka form 4 amenunuliwa na baba yangu cha ajabu baada ya kumaliza chuo na kupata kazi amemuoa na kumtundika mimba Dada yangu wa mwisho kweli hii ni sawa!
Niende kwenye harusi yao au nisiende? Nimsalimie au nisimsalimie?
Cha ajabu baba yangu na mama yangu wamekubali umuoe Dada eti kisa wewe ni Dr ataishi maisha mazuri!
Kwa hili rafiki yangu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wivu huu.wa jamaa nahisi kama sio.yeye alikuwa anamkanyaga dadake basi yeye alikuwa anakanyangwa na jamaaView attachment 1424279
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kushauri tu bila matusiKati ya watu wapumbavu wewe Upo front seat! Baba na Mama yako wana hekima sana, unataka umuoe wewe? Bwege kabisa wewe!
Usiwe kama pimbi maana huyo rafiki yako ameenda mbali zaidi kwa kuunda udugu kutokana na kumuoa dada yako.Hili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja nikamkaribisha nyumbani kwetu akawa kama mtoto wa familia yetu kabisa.
Baba yangu alikuwa anamlipia ada, nguo za shule kuanzia form 3 mpaka form 4 amenunuliwa na baba yangu cha ajabu baada ya kumaliza chuo na kupata kazi amemuoa na kumtundika mimba Dada yangu wa mwisho kweli hii ni sawa!
Niende kwenye harusi yao au nisiende? Nimsalimie au nisimsalimie?
Cha ajabu baba yangu na mama yangu wamekubali umuoe Dada eti kisa wewe ni Dr ataishi maisha mazuri!
Kwa hili rafiki yangu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi .
Sent using Jamii Forums mobile app
you made my day for this commentKwa hiyo umekuja huku kunidhalilisha! Sasa nyumbani kwangu kutakuwa hakuna uzazi wa mpango....Sijui utachukia na wajomba zako.
Anaoa hivyo hivyo kama wewe unavyooa dada za wenzio mkuuHili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja nikamkaribisha nyumbani kwetu akawa kama mtoto wa familia yetu kabisa.
Baba yangu alikuwa anamlipia ada, nguo za shule kuanzia form 3 mpaka form 4 amenunuliwa na baba yangu cha ajabu baada ya kumaliza chuo na kupata kazi amemuoa na kumtundika mimba Dada yangu wa mwisho kweli hii ni sawa!
Niende kwenye harusi yao au nisiende? Nimsalimie au nisimsalimie?
Cha ajabu baba yangu na mama yangu wamekubali umuoe Dada eti kisa wewe ni Dr ataishi maisha mazuri!
Kwa hili rafiki yangu hufai kabisa na sijui umekula maharage ya wapi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kosa jamaa kafanya japo watu wanaongea tu kirahisi ila jikaze tu mkuu, usilipe kisasi