usinijibu hivyo
JF-Expert Member
- Nov 7, 2017
- 248
- 329
Out of topic. Hivi kitabu kinauzwa sh ngapi? Na je, naweza kupata soft copy yake? Ili kama siwezi kumudu bei ya hard copy nifaidike na soft copy.
Bashite banaKuwasaidia tu itifaki
Unaweza kusimama eneo ambalo Rais wa Nchi anapita.
Tafadhali sana usipaparike na kuanza kumnyooshea Mkono Mhe Rais kwa lengo la kumsalimia
Nia yako inaweza kuangukia kuvunjwa Mkono na walinzi
Rejea vidio na Azam Dewj
Katika tukio la leo la Makonda ni wazo kabisa Makonda anajua itifaki hiyo ndio maana hakunyoosha mkono wake Kumpa Mhe Rais ijapo alimsogelea karibu sana
Ingekuwa mtu Mwingine tayari angerusha mkono kumsalimu Rais jambo ambalo si sawa
Kwakuwa Mkuu wa Mkoa ndio wakwanza kumpokea Rais wakati anashuka kwenye gari na Kusalimiana nae .Rais hawezi kushuka kwenye gari bila RC KUTOA taarifa kuwa hali ni shwari...
Kadiri tunavyo onyesha chuki kwa Makonda ndivyo Rais anavyompenda zaidi.
Lazima kujua kuwa kama Mhe Rais na Makonda wakiamua kufanya siasa, kila siku habari zitakuwa front page
Atakuwa alijitenga ili kupata picha nzuri ya akisalimiana na muzee!itakuwa Prince kajinyea maana kakaa kwa kujitenga..
Hata hiyo ya Mh Makonda wameamua kuivalia njuga tu saa zingine alishamsalimia kabla hajafika hapoMaalim seif amempa mkono tena akaongea sekunde kadhaa nae
anzia dk ya 45Hiyo ipo nimeona huko twita. Inaonesha amemruka maalim Seif halafu kampa warioba na viongozi wengine na alipofika kwa makonda amempa mwengine na hakumpa makonda.
acha kupindisha maneno, leo Rais wetu Mpendwa kamsusa jamaa.Kuwasaidia tu itifaki
Unaweza kusimama eneo ambalo Rais wa Nchi anapita.
Tafadhali sana usipaparike na kuanza kumnyooshea Mkono Mhe Rais kwa lengo la kumsalimia
Nia yako inaweza kuangukia kuvunjwa Mkono na walinzi
Rejea vidio na Azam Dewj
Katika tukio la leo la Makonda ni wazo kabisa Makonda anajua itifaki hiyo ndio maana hakunyoosha mkono wake Kumpa Mhe Rais ijapo alimsogelea karibu sana
Ingekuwa mtu Mwingine tayari angerusha mkono kumsalimu Rais jambo ambalo si sawa
Kwakuwa Mkuu wa Mkoa ndio wakwanza kumpokea Rais wakati anashuka kwenye gari na Kusalimiana nae .Rais hawezi kushuka kwenye gari bila RC KUTOA taarifa kuwa hali ni shwari...
Kadiri tunavyo onyesha chuki kwa Makonda ndivyo Rais anavyompenda zaidi.
Lazima kujua kuwa kama Mhe Rais na Makonda wakiamua kufanya siasa, kila siku habari zitakuwa front page
Matusi hayo et last trimester kwaiyo kashaingia labour word au bado?Kwahyo unataka kusemaje mkuu..maana umeandika kama upo last trimester..zile contractions km zinakusumbua vile!
Ameandika nn sasa hapaMatusi hayo et last trimester kwaiyo kashaingia labour word au bado?