Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Hiyo ipo nimeona huko twita. Inaonesha amemruka maalim Seif halafu kampa warioba na viongozi wengine na alipofika kwa makonda amempa mwengine na hakumpa makonda.
Amemsalimia
 

Ujinga tu mizee hii ndo ilotufikisha hapa, bora ingekuwa RIP yote
 
itakuwa Prince kajinyea maana kakaa kwa kujitenga..
 
Walikuwa wameshaonana. Shida iko wapi kusalimiana salimiana kila saa. Ndo maana hata makonda hakuhangaika kunyoosha mkono
 
Write your reply...hahahaha labda wametoka wote magogoni kabla ya kufika hapo
 
Ila inaonesha Makonda bado ni Boss maana juzi kanipita na Range Rover yuko kasi kweli Oysterbay
 
Makonda hskunyosha mkono hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…