Mshkaji wangu anataka kumroga mama watoto wangu

Hakuna namna, japo nimeshaamua kuachana nae tu for good, aende anapotaka
Huwezi kuachana nae huyo.....kwanza kwa nini umelipa ada? Kama ameamua kuondoka na watoto means anaweza kuwahudumia.....inaonekana anajua udhaifu wako ni yeye na watoto ndo maana anakupelekesha, alivyoondoka ungekausha usingeita hata kikao.....ulivyoanza kuweka vikao ndo akaona anakumudu.
 
Ahahahah mwenyekiti Lissu anisamehe kwa uzembe huu nilioufanya.
Nilijaribu kuipa lobe nafasi ila nimegumdua, am playing games
 
Hili ni kwel, nakubaliana na wewe, watoto wangu ndio udhaifu wangu mkubwa
 
Ile narudi home, nakuta ,kabeba watoto wangu, kabeba hati ya nyumba na eneo, kabeba card ya gari na vyeti vyake vyooooote vya taaluma na ajira (mtumishi wa serikali yeye) akasepa.
Nikaja gundua kuwa ni kaka yake alimfuata.
Hati na kadi.

Achana nae uwe unazichapa za pembeni.

Ndoa Ndoa Ndoa Ndoa Ndoa
Why
 
Mkuu
Ulikosea hukumuwahi hicho alichokitaka!

Mpe talaka ya maandishi yaani mpigie simu mwambie njoo uchukue talaka andika ya maandishi hasta kama sio ya mahakamani!Tena ifanyie lamination kabisaaa!

Kuachana ni roho mkuu Wala sio makaratasi ukishaandika ukampa utakua ndio ushahidi wake wa maisha!!



Na Mali mwambie anachotaka achukue!!

Ile safari aliyotaka afike na wewe ameshafika mwache aende!!
 
Hili ni kwel, nakubaliana na wewe, watoto wangu ndio udhaifu wangu mkubwa
SItisha huduma kwa sasa sitisha huduma sitisha mawasiliano watakumaliza hao.

Hata ufanye vipi hapo hao watoto watalishwa maneno kwamba wewe ni mbaya kwao na watatambulishwa kwa baba mwengine.

Yeye si kamwaga mboga?? Basi na wewe katupe ugali baharini kabisa.

Hallelujah!!!
 
Mkuu kwa wakristo ,talaka ya namna hii inawezekana?? Nifundishe zaidi
 
Ahahahah mwenyekiti Lissu anisamehe kwa uzembe huu nilioufanya.
Nilijaribu kuipa lobe nafasi ila nimegumdua, am playing games
Yaani nimesoma huo mkasa wako!
Nimeumia sana as if your my blood brother.

Kwanza umekosa washauri! Na Inaonyesha wewe ni mtu msiri sana na mambo yako!

Cha kwanza be a man! Show your self as man ... Stand against her boldly mkuu!

I'm Born again Christian brothers lakini siishi kinyonge.

Ni lazima ulielewe hili mkuu! Kwa akili na matukio anavyofanya huyo mwanamke ni wazi kabisa amesha haribu akili za watoto juu yako!

Unaweza kuomba na kufunga? Tuingie nalo hili kwenye maombi? Maana wewe kuroga huwezi! Maombi ya vita vipi?

Ila umeifanya siku yangu kuwa mbaya!

Mh. Mwenyekiti TUNDU LISU ananiuliza mbona Nina huzuni? Nikamwambia aliyekuliza Mimi kanihuzunisha
 
Nimeamua kufanya hili mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…