Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

Mkuu
Usihofu nakuelewa. Lakini ninakuahidi panapo majaaliwa mwaka huu nitaandika makala maalumu kuhusu uwepo ama kutokuwepo kwa Mungu.
Nakwambia hivi, hata hiyo longolongo ya "panapo majaaliwa" na utaandika inawezekana kwa sababu Mungu hayupo, huo ni ushahidi zaidi kwamba Mungu hayupo.

Angekuwapo, usingehitaji kuandika, wote tungejua kwa uhakika kabisa bila maandishi yoyote.

Tuongee siasa za sisi wenyewe tutafanya nini kuboresha maisha yetu, Mungu hayupo.
 
Mnasahau mlituaminisha kuwa ushindi wa Lisu utakuwa almost 90% lakini matokeo ndio kama mlivyoyaona badala ya kufikiria watu wa mwamba watafanya nini isitokee mpasuko kwenye chama chenu unazungumzia CCM ambayo vijana wake na wanachama kwa jumla wame unga mkono hoja ya kumteua mama kuwa mgombea. Endeleeni kujidanganya kisha mseme mmeibiwa kura. Mjue sasa hivi baada ya kile kikao wadau wa CCM wapo ktk mchakato wa jinsi gani watapataushindi ktk uchaguzi mkuu kuanzia ngazi ya udiwani , Ubunge na Urais
Mwamba ana watu gani we kiazi mwamba sio mwenyekiti tena mwenyekiti ni lisu ns hao unaosema ni watu wa mwamba watawajibika kwa lisu . Uchaguzi umeisha ambao mmeumia punguzeni maumivu kidogokidogo mpaka mtazoea
 
Nakwambia hivi, hata hiyo longolongo ya "panapo majaaliwa" na utaandika inawezekana kwa sababu Mungu hayupo, huo ni ushahidi zaidi kwamba Mungu hayupo.

Angekuwapo, usingehitaji kuandika, wote tungejua kwa uhakika kabisa bila maandishi yoyote.

Tuongee siasa za sisi wenyewe tutafanya nini kuboresha maisha yetu, Mungu hayupo.
Uzi huu haukuanzishwa kuthibitisha masuala ya uwepo ama kutokuwepo kwa Mungu.

Kimsingi tusiharibu thread
 
Uzi huu haukuanzishwa kuthibitisha masuala ya uwepo ama kutokuwepo kwa Mungu.

Kimsingi tusiharibu thread
Hapana mkuu, sina nia ya kuharibu uzi. Nina nia ya kuhakiki mawazo ya kwenye uzi kwa kuyachambua kwa kina. Mara nyingi tunakubali mambo tu bila kuyachambua kwa kina.

Wewe ndiye umeanza kumtaja Mungu kwenye uzi huu. Kwa hivyo kama kujadili habari za Mungu kwenye uzi huu ni kuharibu uzi, basi jambo hilo umeanza wewe.

Let me tell you something.

You have a huge sense of cognitive dissonance.

Matatizo yetu ya msingi kabisa ni ya kiutamaduni na kifalsafa, epistemological. Hiki la kukialia Mungu ni moja kubwa sana.

Watu wasiokubali kuwa wanatakiwa kuchunguza mambo kimantiki na kuyatatua matatizo yao bila kutegemea muujiza wa Mungu hawawezi kushamiri katika mfumo wa demokrasia unaowataka wafanye kazi ya kufuatilia na kusimamia uongozi.

Watashindwa kufanya hiyo kazi na kumuomba Mungu awafanyie.

Na serikali ikishajua hilo itashirikiana na kina Mwamposa kuendelea kuwazubaisha.

Kutaka mabadiliko ya kimapinduzi huku unashikilia argument from authority za kidini ni cognitive dissonance kubwa sana.

This running to religion for comfort thing was excusable as coping mechanism when the world was in darkness, we do not have that excuse anymore.

Plato said "We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light."

Why are so many of us still afraid of the light in this age?
 
Kwa vile wewe unaingiliwa kinyume cha maumbile unafikiri kila mtu ni bwabwa kama wewe. Tamaa zako kutaka maisha yaliyo juu ya uwezo wako ndiyo zimekuponza watu wanajipakulia tu kama pombe ya ngomani. Shoga mwandamizi wewe.
We ni dhahiri marinda hauna, huwa sibahatishi katika kumjua asiye na marinda.......akinyanyua kinywa tu najua huyu linda Hana. Pole sana kiongozi kwa kutokuwa na linda.
 
Hapana mkuu, sina nia ya kuharibu uzi. Nina nia ya kuhakiki mawazo ya kwenye uzi kwa kuyachambua kwa kina. Mara nyingi tunakubali mambo tu bila kuyachambua kwa kina.

Wewe ndiye umeanza kumtaja Mungu kwenye uzi huu. Kwa hivyo kama kujadili habari za Mungu kwenye uzi huu ni kuharibu uzi, basi jambo hilo umeanza wewe.

Let me tell you something.

You have a huge sense of cognitive dissonance.

Matatizo yetu ya msingi kabisa ni ya kiutamaduni na kifalsafa, epistemological. Hiki la kukialia Mungu ni moja kubwa sana.

Watu wasiokubali kuwa wanatakiwa kuchunguza mambo kimantiki na kuyatatua matatizo yao bila kutegemea muujiza wa Mungu hawawezi kushamiri katika mfumo wa demokrasia unaowataka wafanye kazi ya kufuatilia na kusimamia uongozi.

Watashindwa kufanya hiyo kazi na kumuomba Mungu awafanyie.

Na serikali ikishajua hilo itashirikiana na kina Mwamposa kuendelea kuwazubaisha.

Kutaka mabadiliko ya kimapinduzi huku unashikilia argument from authority za kidini ni cognitive dissonance kubwa sana.

This running to religion for comfort thing was excusable as coping mechanism when the world was in darkness, we do not have that excuse anymore.

Plato said "We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when men are afraid of the light."

Why are so many of us still afraid of the light in this age?
Why are forcing me to take your stance?
Sijakulazimisha chochote. Nasimamia hoja yangu.

Shida yako ni huo ujuaji ambao soon utajigundua kuwa ni mfukuza upepo tu.

Ukiamini sawa
Usipoamini sawa pia
 
We ni dhahiri marinda hauna, huwa sibahatishi katika kumjua asiye na marinda.......akinyanyua kinywa tu najua huyu linda Hana. Pole sana kiongozi kwa kutokuwa na linda.
Bwabwa la lumumba pole. Ukifa wewe maiti yako inashindiliwa gunzi la mhindi kwenye hilo nyeo lako unalotumia kama kitega uchumi. Wazazi wako walifurahi walijua wamepata dume la mbegu kumbe ni shimo la kupokea manii za wanaume wenzako.
 
Why are forcing me to take your stance?
Sijakulazimisha chochote. Nasimamia hoja yangu.

Shida yako ni huo ujuaji ambao soon utajigundua kuwa ni mfukuza upepo tu.

Ukiamini sawa
Usipoamini sawa pia
I am not forcing you to take my stance.

I am not even saying any stance is my stance.

I am showing a logical contradiction in your position.

Invoking God without so much as having the ability to prove the existence of that God is sheer malarkey.

You do not want to acknowledge the fact that you exhibit a glaring cognitive dissonance.

Ukitaka kuongelea siasa za kimapinduzi, kimaendeleo na kimantiki muondoe Mungu. Mungu ni changa la macho lililowekwa na watawala kuwashikia akili wanamapinduzi. Hili limekuwa hivyo kuanzia enzi za watawala kabla ya Babeli, Mafarao wa Misri, wafalme wa China ya kale, Wayunani wa kake, Warumi, Wafaransa, Waingerwza, Wamarekani, mpaka leo.

Ukitaka kumuongelea Mungu, angalau uwe na uwezo wa kutetea uwepo waje.

Ukileta habari za Mungu ndiyo mwanzo wa kuambiwa utawala huu unewekwa na Mungu na Mungu kaamuru muheshimu utawala aliouweka yeye.

Utabisha nini wakati maandiko ya huyo unayemsema Mungu kwa mujubu wa watu wengi wanaomuamini huyo Mungu yameandika hivyo?

Dhana ya kuwepo Mungu ni tatizo linalotuchelewesha kufikia malengo mengi ya watu waliopevuka kielimu katika dunia ya leo.

Huelewi wapi?
 
Ficha upumbavu wako huo, CCM ni mwamba ishtuke kwasababu ya huyo kibaraka kilema? Huyo ni nyau tu akienda kitoto hatamaliza ht hyo miaka yake. Acha utoto we bwege
Hebu tafakari ubinadamu wako na haya maneno "upumbavu,kibaraka kilema,nyau,kitoto,utoto na bwege" ??????
 
Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lisu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa.

Vikao vya wakubwa vimekuwa haviishi, na kupelekea kuleta hofu inayoweza kuzua mpasuko mkubwa wa ndani ya chama.

Azimio la Mkutano Mkuu uliofanyika tarehe 19 Januari 2025 ukumbi wa White House Dodoma, ulipitisha jina la Samia kama sole contenstant na jina la John Nchimbi as running mate wake kwa nafasi ya umakamu. Azimio hili tayari limeshaonesha kuleta mpasuko wa ndani. Juhudi za vikao, kubembelezana na hata kutishiana zimekuwa zikiendelea ndani ya Chama ili kupunguza madhara ya msuguano uliosababishwa na uvunjivu wa Katiba na kanuni za chama.

Inasemekana, upo uwezekano wazee wa kazi chafu wakapewa orodha ya watakaoshughulikiwa ili mifumo iwabane kiuchumi au kuwawekea mazuio muhimu au hata kukabiliwa na changamoto ya maisha yao (kinga ya wale jamaa itahusika kutekeleza hili).

Hotuba ya Tundu Lisu hususan alipokuwa anateua Sekretarieti mpya CHADEMA, ailitamka kuacha nafasi moja ya uteuzi wa mjumbe, akielezea uwezekano wa kupokea wageni kutoka chama dola ambapo hilo lipo wazi hadi sasa.

Jambo linalochagiza wanyetishaji kupata nguvu ya hoja ya mpasuko wa ndani, ni kitendo cha CCM na viongozi wake wote kutosema lolote kuhusu Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CHADEMA. Hata Mwenyekiti wa CCM hajasema lolote hadi sasa hivyo hofu na uoga vinazidi kuongezeka ndani ya korido za Lumumba.

Ushindi wa Lisu na Heche umeleta hasara kubwa na unaweza kupelekea mabadiliko makubwa serikalini na kitengoni kutokana na uwekezaji mkubwa kufanyika na kuambulia kuvuna mabua. Inasemwa na wapenda haki ndani ya CCM kuwa, pesa iliyotumika kwenye uchaguzi wa CHADEMA ni hasara na pigo kubwa sana dhidi ya CCM na Serikali. Kitendo cha polisi kushindwa kulazimisha (mbinu za vurugu) ushindi kwa mapandikizi ya CCM ndani ya CHADEMA ni dhahiri kuwa mfumo umecheza ngoma kubwa kuliko uwezo wake. Msemakweli ndani ya chama dola anasema, kitendo cha wawakilishi wa Kibalozi ndani ya Mkutano Mkuu hadi mwisho wa zoezi la uhesabuji wa kura na uwepo wa kundi kubwa la wananchi kuzingira ukumbi wa Mlimani City ambao walikesha siku zote za Mkutano hadi ulipofungwa tarehe 22 January 2025 usiku, ulisababisha nyenzo za kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ziendelee kubaki salama ndani ya magari ya polisi 19 yaliyozingira eneo hilo wakiwa na silaha kali.

MY TAKE

  1. Mungu anaifuta CCM kwa kasi kubwa na hakuna wa kuzuia
  2. Ushindi wa Lisu na Heche ni mpango wa Mungu
  3. CCM ipo hatua moja kukaribia kishindo cha MPASUKO wake
  4. Rushwa na mbinu zote chafu za ndani ya chaguzi za Chama vimekuwa kansa isiyopona na kuzalisha makundi na manung'uniko ndani ya chama.
  5. CCM ijiandae kisaikolojia kwa uchaguzi mkuu ujao kwani umma umeshaamka kupitia matukio yaliyojiri kuelekea uchaguzi wa CHADEMA ambao ulifunika kwa mbali sana mkutano mkuu wa CCM ambao umemalizika kwa kuongeza ufa wa mpasuko unaoendelea chamani

Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa
 
Sawa, afanye juhudi za kuwaunganisha hao wa asilimia 48% kabla ya CCM. Vinginevyo kama alivyotengeneza upinzani nao wanaweza fanya hivyo.
Inafahamika na kueleweka vyema kuwa....

CCM chini ya uongozi bwana rushwa Abdul na mama yake Chura Kiziwi a.k.a Bi Tozo a.k.a Bi Samia Suluhu Hassan walivyo wajinga na kubeba mioyo migumu, wanaweza kumwaga fedha tena kwa hawahawa walioshindwa ndani ya CHADEMA ili kuuvuruga uongozi mpya kutekeleza mipango na malengo ya chama...

Tunachoweza kuwaambia hawa watu (Abdul, mama yake Bi Tozo a.k.a Chura Kiziwi na CCM yao) ni kuwa, acheni mpango huo. Fedha zenu zitaliwa na hazitawaletea matunda yoyote mnayoyatarajia...

Mungu Yehova ameshaikataa CCM, amemkataa Samia (Farao wa kike) na chochote atakachofanya ili kubaki madarakani hakitafanikiwa...

Fedha ni nzuri na inaweza kufanya chochote wakati wowote. Lakini fedha haiwezi kukupatia kila kitu unachokitaka. Unaweza kuwa na fedha, lakini huwezi kumzuia sisimizi tu kuutoa uhai wako...

Rais Samia Suluhu Hassan [Raia wa nchi ya Zanzibar] jiandae kurudi kwenu Zanzibar. Watanganyika tunaitaka Tanganyika yetu na tunataka kuongozwa na Rais Mtanganyika...!!
 
52% ndiyo asilimia ya ushindi wake. Au kuna formula ya ushindi saaana na ushindi kiduchu?
Hizo kura ni za Wajumbe sio Wanachama wa kawaida. FAM alikua na mtandao mkubwa sana wa Wajumbe.
 
Hizo kura ni za Wajumbe sio Wanachama wa kawaida. FAM alikua na mtandao mkubwa sana wa Wajumbe.
Nakubaliana nawe maana Kigaila na Mrema walihakikisha wajumbe wao ndo wanapita kwenye chaguzi za chini
 
Back
Top Bottom