Mshtuko mkuu ndani ya CCM. Ushindi wa Lissu na Heche ni chanzo. Je, Mungu anaifuta CCM?

Mungu aendelee kutujalia uhai, mwaka huu lazima nisafiri zaidi ya km 2,000 kuhakikisha napiga kura Kwa mara ya pili katika maisha yangu. Naamini kura yangu haitapotea Tena.
Nilimpigia Mrema mwaka 1995 Nitampigia Lissu 2025 Mungu akinijaalia siha njema🙏🏿
 
Nakubaliana nawe maana Kigaila na Mrema walihakikisha wajumbe wao ndo wanapita kwenye chaguzi za chini
Exactly.! Ndio maana Wapambe wa FAM walikua wanajiamini sana.
Msigwa alisema kweli kuhusu faulo za uchaguzi wa Kanda tukamuona chizi.
 
Kilichofanyika dodoma kimeacha maumivu makubwa kwa wana ccm ,na si kwa sababu ya aliyepewa nafasi la hasha kuona kila kukicha katiba ina singinwa na matokeo yake nchi haiongozwi na katiba inaongozwa kwa mawazo ya mtu
 
Kwani Mungu ndo kaileta CCM??
 
Ujinga na upumbavu mtupu.Wavuta bangi na wabwiya unga mara nyingi hujiona wao ni Simba wanapojitazama kwenye kioo,baadae wanagundua kuwa wao kumbe ni Paka tu.Mnapojichekesha pale Mlimani City bangi na unga vinawafanya mjione pale ni Tanzania yote. Nakumbuka kauli ya mlevi mmoja pale alitamka kuwa Chadema ni zaidi ya CCM.
 
Hasira na povu lote hili ni kwa sababu pigo mlilolipata mtaliishi kwa karne nyingi.

Jiandaeni kufungasha virago
 
CCM shida ilikua yale makundi ya ndani tu huku nje ni as usual.....yani hadi mwanafunzi wetu msumbiji katoboa sembuse hii jamhuri ya keyboard warriors, halafu sie ndo waalimu wao tushindwe
 

Chadema inataka Katiba na tume huru. Cha ajabu kwanini CCM hao tunao sema wazalendo wakatae haya mambo ya kizalendo. Yaani hapa tuna ongelea haki kwa kila mtu kwanini hili linakuwa kitu cha kutishiana maisha! Yaani watu nwanataka katiba mpya natume huru wanafikiria kuuliwa. Tujiulize kwa manufaa ya nani hasa! Machawa ni misukule kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…