Msiba wa Lowassa ni gunia la misumari kwa Kikwete

ndio maana hata familia pale haijamshukuru wala kumtaja, pamoja na kwamba alishawahi kuwa waziri mkuu kwenye utawala wake na wametoka naye mbali tangu ujanani. you know hwy?
 
ila yeye alimpigania akaupata uraia kwasababu ni rafiki yake, na alitumia hadi pesa yake ya mfukoni wakati huo msoga hakuwa na mihela waliyo nayo sasaivi. sema mwanadamu akipata huwa anasahau alikotoka.
Urais hauko hivyo. Hata lowasa alikosea Sasa huwezi kufanya makosa juu ya makosa. Urais siyo hisani
 
Sema ccm na serikali ilifanya hayo siyo lowasa. Lowasa alikuwa msimamizi tu
 


Yani wewe ulimpima ukajua ana tezi dume au alikushirikisha?
 
Heshima aliyopata ni kwasababu ya Kikwete. Lowassa alikuwa mwizi asiyeshiba ulitaka aachwe? Yeye si wa kwanza kujiuzulu hata Warioba alipigwa chini. Rais ndiye mkuu wa nchi
 
Lowasa ndio alifanya kikwete kuwa raisi usisahau hilo

Kivipi?!!! [emoji38][emoji38][emoji38] hivi wewe ulikuwepo wakati mkapa anagombea u Rais unajua alichuana na nani?!!! Na alikua wa ngapi baada ya mkapa?!!
Itakua ulizaliwa juziii..
LOWASSA ZAIDI YA URAFIKI WAO NA KIKWETE HAKUMSAIDIA KUA RAIS, kikwete nyota yake ilishang’aaa hakukua wa kumstopisha..
Lowassa na wengine wote walikua ni wapambe wa kikwete upo!!!
 
ndio maana hata familia pale haijamshukuru wala kumtaja, pamoja na kwamba alishawahi kuwa waziri mkuu kwenye utawala wake na wametoka naye mbali tangu ujanani. you know hwy?
Kama ulisikia hotuba ya Chegeni kule kanisani Azania na shangwe alizopigiwa na watu wote pamoja na wanafamilia, na leo ameitwa mwanafamilia. Lakini pia Bashe aliyemtemea nyongo Jk baada ya kumkaribisha tena Lowassa ndani ya CCM anavyopendwa na familia. Utaelewa familia inavyomchukulia swahiba wa zamani wa marehemu.
 
Mnafiki Jazz Band
 
Unatumika vibaya wewe, kama jk alimfanya Lowassa waziri mkuu halafu familia ishukru watu wengine ambao hawakumpa hicho cheo, kwako wewe unaona kawaida.?

Jifunzeni kuishi na watu vizuri, madaraka yana mwisho. Ni fedhea na ni aibu kubwa. Kwa Magufuli ilikuwa hivyohivyo akaishia kujitetea, leo hivyohivyo. Aibuu
 
kuna watu mnawaza
 
Uzuri au ubaya wa Kikwete huwa anasema "Huu ni upepo tu, utapita".

Kashamaliza.

Si kila mtu ana uwezo wa kuumizwa sana na maneno ya watu.
 
Huyu JK atakuja kulipa tu dhuluma alizofanya kwa watu wengi including Lowassa.
 

Sasa Bashe na Huyo Chegeni na JK, mbona ni mbingu na ardhi, Huyo Bashe JK ndio alimleta kwenye kalamu God father wake anayemfanya aishi mjini.

Marehemu angekuwa na nguvu hiyo sidhani kama alipaswa kumtegemea JK ili awe Rais, angeweza pia kumzunguka na kujiweka kitini.
BWM aliweza kuzungukwa JK akawa Rais na sio SAS, basi EL naye angetumia nguvu hiyohiyo kujifanya Rais baadala ya JK.

Sasa kama alikuwa superpower na hela + rafiki yake RA walishindwaje kumzidi kete JK pale Dodoma na watu wao akina Sofia, Madabida, Nchimbi, Msindayi nk?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…