Kabeji

Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
13
Reaction score
87
Habari wakuu,

Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu.

Nipo hapa hapa Dar es Salaam

NB: Nje ya masuala yangu ya ujasiriamali pia nina kipaji kutengeneza maudhui mitandaoni (content creator) na uanamitindo na urembo.

Pia, kama kuna mtu ana namna anaweza kuniunganisha na masuala haya ya urembo na uanamitindo nitashukuru sana kwa kweli hali ya kukaa bila kuwa na ishu ya kuingiza pesa ya ziada inanipa depression kubwa.

Yeyote atakaeguswa na ombi langu basi anicheki DM 0713776534 WhatsApp and normal calls

Asante.
 
Kila la kheri, ila ushauri futa hiyo namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…