Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie
Habari wakuu,

Mimi ni msichana wa miaka 24 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo ya Uhasibu na Biashara(bachelor in accounting and finance). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike had hivi juzi juzi nilipohitimu ila sasa kama mnavyojua ndugu zangu ujasiriamali ni mgumu ukizingatia hela ya ujasiriamali nilikuwa natoa katika hela ya kujikimu chuoni (boom).

Kwa sasa biashara hainiendei vizuri hivyo nimekuja kwenu wanajukwaa naomba mnishike mkono kupatiwa kazi yoyote iliyo ya halali ambayo haitanitweza utu wangu.

Nipo hapa hapa Dar es salaam na napatikana kwa namba hii 0713776534

NB: nje ya masuala yangu ya ujasiriamali pia nina kipaji kutengeneza maudhui mitandaoni (content creator) na uanamitindo na urembo.

Pia kama kuna mtu ana namna anaweza kuniunganisha na masuala haya ya urembo na uanamitindo nitashukuru sana kwa kweli hali ya kukaa bila kuwa na ishu ya kuingiza pesa ya ziada inanipa deprression kubwa.

Yeyote atakaeguswa na ombi langu basi anicheki PM au anipigie kwa namba nilizoweka hapo juu.

Asante
bado mapema sana.

tafuta kazi ya taaluma uliyosomea
 
Natamani nikuajiri maana si mda nafungua klabu Cha pombe hapa kijijini ili utumie uhasibu wako kutunzwa hela zangu ila shida ni Heslb nasikia wanawatafuta nyie mliokula hela ya serikali na hamna Cha kulipa ,Sasa hauwezi kunifirisi kwa kuwalipa serikali ?
 
Habari wakuu,

Mimi ni msichana wa miaka 24 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo ya Uhasibu na Biashara(bachelor in accounting and finance). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike had hivi juzi juzi nilipohitimu ila sasa kama mnavyojua ndugu zangu ujasiriamali ni mgumu ukizingatia hela ya ujasiriamali nilikuwa natoa katika hela ya kujikimu chuoni (boom).

Kwa sasa biashara hainiendei vizuri hivyo nimekuja kwenu wanajukwaa naomba mnishike mkono kupatiwa kazi yoyote iliyo ya halali ambayo haitanitweza utu wangu.

Nipo hapa hapa Dar es salaam na napatikana kwa namba hii 0713776534

NB: nje ya masuala yangu ya ujasiriamali pia nina kipaji kutengeneza maudhui mitandaoni (content creator) na uanamitindo na urembo.

Pia kama kuna mtu ana namna anaweza kuniunganisha na masuala haya ya urembo na uanamitindo nitashukuru sana kwa kweli hali ya kukaa bila kuwa na ishu ya kuingiza pesa ya ziada inanipa deprression kubwa.

Yeyote atakaeguswa na ombi langu basi anicheki PM au anipigie kwa namba nilizoweka hapo juu.

Asante
Ebu nitafute tufanye biashara ya kyupi mtaji wangu faida tunagawana 60/40. Gonga pm
 
mayonaizi kazi hii hapa ushindwe Wewe tu

Looking for qualified graduate for Branch accountant position
Please send CV
shamte.shamte@brac.co.tz

Nyingine hii
IMG-20240912-WA0023.jpg

Usilete usisitaduu kazi hizo hapo
 
asante kwa ushauri nimeamua kuifuta maana naona wengi wanakuja na mada za mapenz hawapo kwa ajili ya kunisaidia
Ndio tunakusaidia Ila kuna boya anakufaidi na hakuna anachokusaidia sasa huo si undezi anapaki bus tu si umpige chini km hatoi pande

Hii nyingine nakupa pande

We are Hiring
Position: Accountant & Audit Associate
Qualification: Bachelor Degree in Accounting/Finance
Experience: <1 year
Position Filling: Immediately
Contract: Permanent
Application Send CV to: audit.senior@habibadvisory.co.tz

Ushindwe Wewe tu na CV yako
 
Back
Top Bottom