Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie
Jitahidi pia ukipigiwa simu ujielezee vizuri make sure Una good communication skills.
 
Unafuta kazi?

Mdogo wangu futa hiyo namba utapata usumbufu bure.

Kama unatafuta kazi na elimu yako ni ya uhakika mtaji wako wa kwanza ni imani

Itumie imani yako kufanya maombi mwili wako na nafsi yako vitakate watu wakupende jina lako linga're popote utakapokwenda kuomba kazi wakupe.

Anza na kanisani kwenu piga maombi mambo yaende

Ikishindikana rudi kijijini kwenu kamtafute babu yako
Imani na kazi wapi na wapi, mwambie a apply mara nyingi Zaidi, itaongeza Chance ya kupata kazi
 
Jamii forums ni bonge la mtandao,kuna watu wa kutosha huku wa kukupa kazi. Naamini utapata kazi nzuri na ya uhakika.
 
Unafuta kazi?

Mdogo wangu futa hiyo namba utapata usumbufu bure.

Kama unatafuta kazi na elimu yako ni ya uhakika mtaji wako wa kwanza ni imani

Itumie imani yako kufanya maombi mwili wako na nafsi yako vitakate watu wakupende jina lako linga're popote utakapokwenda kuomba kazi wakupe.

Anza na kanisani kwenu piga maombi mambo yaende

Ikishindikana rudi kijijini kwenu kamtafute babu yako
Baada ya paraghraph ya pili ulichoandika ni subjective things,sababu wewe imani yako ni kanisani unaona solution zote za kiimani ni za kikristu.

Yeye Kua na imani ya Kupata Kazi tu. inatosha kufikisha ujumbe. Hahitaji kurudi kijijini au kufanya maombi kokote. Kwa imani yako yoyote fanya maombi kwa njia yoyote unayo-iamini itafanya kazi.

Kwa kukuongezea kwenye maombi yako omba kwa kujua kiasi gani cha mshahara unachokihitaji na kua na imani kua utakipata. Kama mshahara wa 700k au 400k utakutosha basi omba kwa kutaka mshahara huo hata kazi ikitokea ya kulipwa 200k hutaipokea. Mungu ametupa Uhai na nguvu ya matamanio usiogope kudai matamanio yako kwa mungu.
 
Great 🤝🏿
 
Mkuu

Huyu ni msomi ujumbe atakuwa kauelewa

Hata marekani wana imani yao IN GOD WE TRUST
 
Baada ya paraghraph ya pili ulichoandika ni subjective things,sababu wewe imani yako ni kanisani unaona solution zote za kiimani ni za kikristu.

Yeye Kua na imani ya Kupata Kazi tu. inatosha kufikisha ujumbe. Hahitaji kurudi kijijini au kufanya maombi kokote. Kwa imani yako yoyote fanya maombi kwa njia yoyote unayo-iamini itafanya kazi.

Kwa kukuongezea kwenye maombi yako omba kwa kujua kiasi gani cha mshahara unachokihitaji na kua na imani kua utakipata. Kama mshahara wa 700k au 400k utakutosha basi omba kwa kutaka mshahara huo hata kazi ikitokea ya kulipwa 200k hutaipokea. Mungu ametupa Uhai na nguvu ya matamanio usiogope kudai matamanio yako kwa mungu.
Wajomba malizieni basi hizo mambo zenu huko Ngorongoro mje kuwapa vijana kazi za laki 7 waanze kuishi maisha ya kumiliki Cheque Number mtaani kugumu huku acheni hizo
 
Kuna jamaaangu ana kampuni yake ndo anaanza alikuwa anataka mtu wa aina yako sijui kama mtawezana malipo/mshahara

Hebu nifuate pm kama unaweza
 
Unafuta kazi?

Mdogo wangu futa hiyo namba utapata usumbufu bure.

Kama unatafuta kazi na elimu yako ni ya uhakika mtaji wako wa kwanza ni imani

Itumie imani yako kufanya maombi mwili wako na nafsi yako vitakate watu wakupende jina lako linga're popote utakapokwenda kuomba kazi wakupe.

Anza na kanisani kwenu piga maombi mambo yaende

Ikishindikana rudi kijijini kwenu kamtafute babu yako
safi sana naona umempa siraha
 
Kuna jamaaangu ana kampuni yake ndo anaanza alikuwa anataka mtu wa aina yako sijui kama mtawezana malipo/mshahara

Hebu nifuate pm kama unaweza
Chukua namba pale juu mpe amcheck kwanini mnaminya na kuificha white hivyo hata akimpoza 400 kwa kuanzia sio mbaya
 
tangazo.jpeg
ajira hio hapo mkuu tuma maombi
 
Hello watanzania naitwa Jenipha. Nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu cha Dar es Salaam, natafuta kazi jamani maisha ni Magumu😭😭😭😭

Naombeni msaada, 0713776534.
 
Hello naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafutaa kasi 0713776534
 
Back
Top Bottom