Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
Jitahidi pia ukipigiwa simu ujielezee vizuri make sure Una good communication skills.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani na kazi wapi na wapi, mwambie a apply mara nyingi Zaidi, itaongeza Chance ya kupata kaziUnafuta kazi?
Mdogo wangu futa hiyo namba utapata usumbufu bure.
Kama unatafuta kazi na elimu yako ni ya uhakika mtaji wako wa kwanza ni imani
Itumie imani yako kufanya maombi mwili wako na nafsi yako vitakate watu wakupende jina lako linga're popote utakapokwenda kuomba kazi wakupe.
Anza na kanisani kwenu piga maombi mambo yaende
Ikishindikana rudi kijijini kwenu kamtafute babu yako
Wewe huelewi tofauti kati ya NAFUTA na NATAFUTA.Vinahusiana nn 😂
Baada ya paraghraph ya pili ulichoandika ni subjective things,sababu wewe imani yako ni kanisani unaona solution zote za kiimani ni za kikristu.Unafuta kazi?
Mdogo wangu futa hiyo namba utapata usumbufu bure.
Kama unatafuta kazi na elimu yako ni ya uhakika mtaji wako wa kwanza ni imani
Itumie imani yako kufanya maombi mwili wako na nafsi yako vitakate watu wakupende jina lako linga're popote utakapokwenda kuomba kazi wakupe.
Anza na kanisani kwenu piga maombi mambo yaende
Ikishindikana rudi kijijini kwenu kamtafute babu yako
Great 🤝🏿Baada ya paraghraph ya pili ulichoandika ni subjective things,sababu wewe imani yako ni kanisani unaona solution zote za kiimani ni za kikristu.
Yeye Kua na imani ya Kupata Kazi tu. inatosha kufikisha ujumbe. Hahitaji kurudi kijijini au kufanya maombi kokote. Kwa imani yako yoyote fanya maombi kwa njia yoyote unayo-iamini itafanya kazi.
Kwa kukuongezea kwenye maombi yako omba kwa kujua kiasi gani cha mshahara unachokihitaji na kua na imani kua utakipata. Kama mshahara wa 700k au 400k utakutosha basi omba kwa kutaka mshahara huo hata kazi ikitokea ya kulipwa 200k hutaipokea. Mungu ametupa Uhai na nguvu ya matamanio usiogope kudai matamanio yako kwa mungu.
MkuuBaada ya paraghraph ya pili ulichoandika ni subjective things,sababu wewe imani yako ni kanisani unaona solution zote za kiimani ni za kikristu.
Yeye Kua na imani ya Kupata Kazi tu. inatosha kufikisha ujumbe. Hahitaji kurudi kijijini au kufanya maombi kokote. Kwa imani yako yoyote fanya maombi kwa njia yoyote unayo-iamini itafanya kazi.
Kwa kukuongezea kwenye maombi yako omba kwa kujua kiasi gani cha mshahara unachokihitaji na kua na imani kua utakipata. Kama mshahara wa 700k au 400k utakutosha basi omba kwa kutaka mshahara huo hata kazi ikitokea ya kulipwa 200k hutaipokea. Mungu ametupa Uhai na nguvu ya matamanio usiogope kudai matamanio yako kwa mungu.
Babu yake tena?Ikishindikana rudi kijijini kwenu kamtafute babu yako
Kwa babu yake wa dawaBabu yake tena?
Wajomba malizieni basi hizo mambo zenu huko Ngorongoro mje kuwapa vijana kazi za laki 7 waanze kuishi maisha ya kumiliki Cheque Number mtaani kugumu huku acheni hizoBaada ya paraghraph ya pili ulichoandika ni subjective things,sababu wewe imani yako ni kanisani unaona solution zote za kiimani ni za kikristu.
Yeye Kua na imani ya Kupata Kazi tu. inatosha kufikisha ujumbe. Hahitaji kurudi kijijini au kufanya maombi kokote. Kwa imani yako yoyote fanya maombi kwa njia yoyote unayo-iamini itafanya kazi.
Kwa kukuongezea kwenye maombi yako omba kwa kujua kiasi gani cha mshahara unachokihitaji na kua na imani kua utakipata. Kama mshahara wa 700k au 400k utakutosha basi omba kwa kutaka mshahara huo hata kazi ikitokea ya kulipwa 200k hutaipokea. Mungu ametupa Uhai na nguvu ya matamanio usiogope kudai matamanio yako kwa mungu.
Babu yaan unamaanisha Mzee Kalu Man ZilaKwa babu yake wa dawa
safi sana naona umempa sirahaUnafuta kazi?
Mdogo wangu futa hiyo namba utapata usumbufu bure.
Kama unatafuta kazi na elimu yako ni ya uhakika mtaji wako wa kwanza ni imani
Itumie imani yako kufanya maombi mwili wako na nafsi yako vitakate watu wakupende jina lako linga're popote utakapokwenda kuomba kazi wakupe.
Anza na kanisani kwenu piga maombi mambo yaende
Ikishindikana rudi kijijini kwenu kamtafute babu yako
Chukua namba pale juu mpe amcheck kwanini mnaminya na kuificha white hivyo hata akimpoza 400 kwa kuanzia sio mbayaKuna jamaaangu ana kampuni yake ndo anaanza alikuwa anataka mtu wa aina yako sijui kama mtawezana malipo/mshahara
Hebu nifuate pm kama unaweza