Mtoto wa binti yako siyo mjukuu halisi maana sperms hazikutoka katika ukoo wako! Usisahau siku hizi kuna IVF hata mama wa 90 yrs anaweza kubeba mimbaπππ Mkuu acha kunichekesha, akifika 35yrs bila kua na watoto mji wa Mimba unaanza kujifunga vipi huna mpango wa kua na wajukuu?
Akikujibu nirushie jiwe nimekaa paleKWa wewe mleta mada ,utapenda binti yako aolewe au awe public property (kama choo cha umma)?
Hio status mama yake alikuwa nayo wakati unamuoa? πππMawazo haya yananitia uchungu sana!!!! Nina binti yangu (now 31 yrs) naona hili jambo linamfanya asianze PhD programme ati kila siku kwenda kusali. Inaniboa saaana ingawa sina la kufanya. Naamini kuolewa kupo na ukiolewa ukiwa na status ndiyo inakuwa bora zaidi au nakosea kama mzazi
Kama mzazi upo sahihi lakini anayopitia binti yako mwenye 31 sio poaMawazo haya yananitia uchungu sana!!!! Nina binti yangu (now 31 yrs) naona hili jambo linamfanya asianze PhD programme ati kila siku kwenda kusali. Inaniboa saaana ingawa sina la kufanya. Naamini kuolewa kupo na ukiolewa ukiwa na status ndiyo inakuwa bora zaidi au nakosea kama mzazi
Sawa mkuu hapo nimekupata,Mtoto wa binti yako siyo mjukuu halisi maana sperms hazikutoka katika ukoo wako! Usisahau siku hizi kuna IVF hata mama wa 90 yrs anaweza kubeba mimba
Shukran mkuu.Mkuu Vishu Mtata hongera sana. Kwenye huu uzi unatoa darasa kubwa sana.
πππIla kweli ngoja tujitahidiMwanaume ni pesa man, hizo porojo za ndoa wanufaika ni wanawake zaidi na hao ndio wenye uhitaji wa ndoa zaidi kuliko wanaume...
Una maanisha nini?"Dah wanawake siku hizi wamekuwa kama Nyani"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee usijisahaulishe, ndoa haihitaji statusMawazo haya yananitia uchungu sana!!!! Nina binti yangu (now 31 yrs) naona hili jambo linamfanya asianze PhD programme ati kila siku kwenda kusali. Inaniboa saaana ingawa sina la kufanya. Naamini kuolewa kupo na ukiolewa ukiwa na status ndiyo inakuwa bora zaidi au nakosea kama mzazi
Kwani kuna baba mwenye mtoto wa kike ambaye hataki mtoto wake anunuliwe chips na akagegedwe? Huyo atakuwa baba wa ajabu sana. Hao ndio wanaishia kuwagegeda watoto zao.Nadhani sasa mmewatukana wanawake vya kutosha. Tuwageukie na wanaume pia. Hivi mwanaume unaenda kumtongoza mtoto wa form 2 ukijua kabisa hutomuoa, unamuahidi chips kuku mara kwa mara na ahadi za kumuoa, knowing very well huna mpango nae, hivi huyu atataka kusoma tena kweli?
Si atakaa anawaza akiolewa ni chips na kuku kwenda mbele. Wanaume pia mngekua mna treat wanawake kama ambavyo mnataka watoto wenu wa kike wawe treated au ambavyo mngependa dada zenu wawe treated.
KumbeeeMwanaume ni pesa man, hizo porojo za ndoa wanufaika ni wanawake zaidi na hao ndio wenye uhitaji wa ndoa zaidi kuliko wanaume.
Thamani ya mwanamke asiolewa ni tofauti na mwanaume ambae hajaoa kwa mitazamo ya jamii zetu.
Na mbaya zaidi kuna umri mwanamke akifika kuolewa huwa ni kwa mbinde tofauti na mwanaume anaeamua amuoe nani!!.
Wanawake wasome na kufikia malengo yao lakini wasisahau wanatakiwa kuolewa. Bila hivyo wataishi kwa masononeko sana, majuto na kuparamia vibenten vinavyowalaghai kila siku hawa mashangazi.
Labda mzee wa status hapo juu πππKwani kuna baba mwenye mtoto wa kike ambaye hataki mtoto wake anunuliwe chips na akagegedwe? Huyo atakuwa baba wa ajabu sana. Hao ndio wanaishia kuwagegeda watoto zao.
Sasa shida ikoo wapi mpaka wao wanawake hawajaolewa au ndio sensa imeleta majibuIngekuwa wanawake tunaolewa na yoyote anayejitokeza asingekuwepo mwanamke asiye na ndoa.
Hahaha itakuwa. Yaani niwe na mtoto wa kike alafu sioni vijana vinamnyemelea wala kumvua chupi nitasononeka sanaLabda mzee wa status hapo juu πππ
πππHahaha itakuwa. Yaani niwe na mtoto wa kike alafu sioni vijana vinamnyemelea wala kumvua chupi nitasononeka sana