Msigwa: Rais Samia hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
“Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji.

Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria.

Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi.

Pia soma:

- Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Ufaransa na Ubelgiji

“Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji.

Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria.
:
Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi.
Kuna wakati alikodi ndege kwa safari ya nje?
 
“Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji.
...
Sio kweli kwamba ameokoa fedha, wanaomshauri Mh rais wapo na interest zao hasa kwa masuala ya per diem.

wameweza kumwingiza chaka kwa sababu Rais anatakiwa asafiri kwa ndege yake lkn kwa sababu inabeba abiria wachache wameamua kumdanganya kwa kuwa aghalabu ndege yake yenye kubeba abiria 18 kuna wengi wangeachwa kwenye msafara na ndio maana wanamdanganya wana save pesa lkn kwa idadi wa delagation ya watu 70 anaosafr nao ni dhahiri upo upotevu mkubwa wa fedha zinazolipwa kama per diem and accomodation.

Lakini kiusalama kwa kweli bado kusafiri na ndege binafsi si afya sana kwa mkuu wa nchi!!

Mama ajitazame!
 
Out fit allowance
 
Angetumia Zoom angeokoa ngapi ?

Tupunguze matumizi ya muda kwa kusifia..., bora tuongeze muda kwa kuwa critical (ili watu wajirekebishe) au tupumzishe midomo yetu ili damu zaidi iende kwenye akili tuwaze kuboresha.....
 
Hapo imepigwa zaidi ya 2B
 
Watu wana gubu sana ofisi ya Rais inatenga budget na budget ikipita ni halali kisheria kutumia pesa kama kakodi au hajakodi kikubwa yuko within the budget shida kama wamekuwa overspent sawa lakini kawaida ya budget ukitenga halafu ukajifanya una save basi inapigwa panga wengine wanapewa. Hapa swali je matumizi nje ya budget? najuwa jibu hapana then huyu ni Raisi na lazima apewe heshima kama Raisi tuache kila jambo kupinga sasa tulitaka aende na bus la Shabbiby France?
 
Back
Top Bottom