Msigwa: Rais Samia hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji

Msigwa: Rais Samia hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji

Nchi hii tunashida pesa ya kupiga ipi? kupanda ndege? Hivi ukimpa mkeo alfu 20 ya chakula ukarudi ukakuta chakula mezani hapo katumia 15 tu 5 kafanya matumizi mingine utasema kapiga? pesa ya budget kama mfano ofisi ya Raisi wanapeleka bungeni kuomba kiasi fulani na kuna kuwa na details ya gharama zote ikipita ni juu ya ofisi ya Rais kutumia kwa mujibu wa maombi yao kama iliombwa 100 kwa ajili ya usafiri basi watumie 0-100 kwa usafiri tu wala hawezi kwenda kuchukuwa ya chakula kutumia kwa usafiri. Ndio maana auditor kazi yake kupitia mahesabu je ulitumia 100 kuna invoice zililipwa kwa ajili ya usafiri au invoice hakuna na pesa hakuna hapo ndio wanauliza hii pesa imeenda wapi sasa hicho cha juu ni kipi. labda Mama kapanda Emirates na kuomba cha juu Emirates. acheni siasa katika professional job.
Back to square one..!!! Unapoomba 20 ukatumia 15, effectively umepiga 5... Unless hiyo 5 uirudishe ulikoomba mkaipangie majukumu mengine kwa pamoja, muombaji na muombwaji... Lakini muombaji ukiitumia kwingine na huku muombwaji hajui, kwamba yeye anajua umeitumia kule ilikokusudiwa mwanzo, UMEPIGA. KWA SABABU hayo matumizi mapya una uwezo wa kuyaombea fedha tena na huku ulishayatimiza
 
Mbona hatuoni air ticket? onyesheni basi na siyo kuongea tu kwa mdono
Mimi nimeuliza kama kuna wakati alikodi ndege hadi Msigwa amsifie kwamba alipoenda France hakukodi ndege, wewe unaniuliza ticket. Wtf.

You’re barking at a wrong tree dog.
 
Kiitifaki Rais huwa ana msafara mkubwa wa watu pale anaposafiri. Yeye hawezi kusafiri kama abiria mwingine na kuwa na uamuzi wa kukaa katika "economy class". Yeye lazima atakaa katika "business class" na msafara wake.

Kwa hiyo basi usafiri wake na msafara wake bado hugharimu fedha nyingi, ijapokuwa gharama yake haitakuwa sawa na kutumia usafiri wa ndege binafsi. Hivi ndege ya Rais aliyoipigia debe Waziri Mramba kwa inunuliwe hata ikewezekana kwa kupitia gharama ya Watanzania kula nyasi bado ipo?
Hio ndege ya rais sidhani hata kama inafikia thamani ya mikataba alioingia waziri mpya wa nishati katika kipindi cha miezi 3 toka uteuzi wake😅!

Sioni maajabu yoyote ndege haiwezi vuka 100B Ata iwe nzuri kiasi gani
 
Uko sahihi pesa yote inatakiwa kutumiwa kwa mujibu wa maombi huwezi kuomba 20 kwa ajili ya chakula halafu ukatumia kwa ajili ya mavazi hapo ndio inakuja kazi ya mdhibiti wa mehesabu ya serikali kila matumizi yaoneshe na malipo yake na viambatanisho. kama ukipiga 5 ukasema ulitumia kwa chakula wakati sio kweli utaulizwa risiti na malipo yalifanyika lini na wapi kuna system. mtu anaweza kupiga cha juu tu ikiwa atamwambia muuzaji wa chakula nanunua kwako chakula ila nipe 10% cha juu au ufanye fake kila kila kitu risiti fake, malipo fake lakini mdhibiti wa serikali wana njia za kujiridhisha kitaalamu.
Back to square one..!!! Unapoomba 20 ukatumia 15, effectively umepiga 5... Unless hiyo 5 uirudishe ulikoomba mkaipangie majukumu mengine kwa pamoja, muombaji na muombwaji... Lakini muombaji ukiitumia kwingine na huku muombwaji hajui, kwamba yeye anajua umeitumia kule ilikokusudiwa mwanzo, UMEPIGA. KWA SABABU hayo matumizi mapya una uwezo wa kuyaombea fedha tena na huku ulishayatimiza
 
Uko sahihi pesa yote inatakiwa kutumiwa kwa mujibu wa maombi huwezi kuomba 20 kwa ajili ya chakula halafu ukatumia kwa ajili ya mavazi hapo ndio inakuja kazi ya mdhibiti wa mehesabu ya serikali kila matumizi yaoneshe na malipo yake na viambatanisho. kama ukipiga 5 ukasema ulitumia kwa chakula wakati sio kweli utaulizwa risiti na malipo yalifanyika lini na wapi kuna system. mtu anaweza kupiga cha juu tu ikiwa atamwambia muuzaji wa chakula nanunua kwako chakula ila nipe 10% cha juu au ufanye fake kila kila kitu risiti fake, malipo fake lakini mdhibiti wa serikali wana njia za kujiridhisha kitaalamu.
Embezzlement of funds... Mana yake fedha imetumika kwa matumizi yasiyokusudiwa na is a crime and it’s often considered a premeditated one.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom